kulunalila
Member
- Dec 1, 2011
- 43
- 6
Kwa niaba ya familia Na Kwa niaba ya Mh Mkundi, nakanusha uvumi wote juu yake Na naomba jamii itambue kuwa Mh Joseph Michael Mkundi yu hai na ni mzima wa afya. Ni rai yangu anayevumisha habari yoyote mbaya aache na kuwa familia tunasikitishwa na taarifa hizi zisizo za kweli juu ya ndugu yetu. Mungu ni mwenye nguvu!