Mbona mke wa Magufuli hazunguki na mumewe? Halafu hapewi hata dk 5 za kuzungumza na wanawake wenzake? Au shule ya UPE inamkosesha uwezo wa kuzungumza kwenye kadamnasi? Salma nae alianza hivyo hivyo....
hata mm nilimuona mood yake
Ina maana mwaka huu ni wa wagonjwa tu?
Nyie nyumbu wa chadema kutoka hilo Taifa la Tanganyika huenda ndio mkawa nyumbu wakorofi na vilaza kupita kiasi. Kikwete alipokuwa akimshirikisha kwenye siasa za majukwaani mama salma, mkasema anafanya urais ni wa familia. Huyu magufuli hana mpango wa kuiingiza familia kwenye masuala ya kisiasa pia mnaona shida. Mfanyiwe nini watu nyie hadi mridhike? Au kizazi kile kikirofi cha Israel ndio nyie mliokuwa mkimpinga kila kitu mussa? Acheni utoto.Mbona mke wa Magufuli hazunguki na mumewe? Halafu hapewi hata dk 5 za kuzungumza na wanawake wenzake? Au shule ya UPE inamkosesha uwezo wa kuzungumza kwenye kadamnasi? Salma nae alianza hivyo hivyo....
Jana nilimsikiliza magufuli ambaye alikanusha kulazwa ICU, lakini pamoja na kukanusha huko ni wazi sauti yake na mood vilibadilika na kuwa na sauti ya chini na mood ya kukata tamaa. Tunaiomba tume ya uchaguzi impeleke huyu mgombea ulaya akapate matibabu kwanza ndipo aendelee na kampeni zake. Kumbuka mficha ugonjwa mauti humuumbua...!
Umeona huyu naye, ilipokuwa enzi ya kikwete mkadai watu wamechagua sura, leo nyie nyumbu mmegeuka kuwa sura ya magufuli haina mvuto-aiseee. Nyie watu mna mpango wa kuipeleka nchi katika machafuko. Hizi si akili za kawaida.Ukiacha ugonjwa hata sura yake sio rafiki, haina mvuto kama sura za maprezidaa wa Tz, imepwaya sana hata kwenye mabango.