Afya ni uhai

Afya ni uhai

agoma

Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
31
Reaction score
19
ETERNAL INTERNATIONAL LTD
ETERNAL:
Ni kampuni kutoka nchini China inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili.
Pia tunatoa huduma ya upimaji ( Check- up) ya mwili mzima kwa sh 10000/=.

Pia tunatoa matibabu ya dawa zenye asili ya virutubisho na huduma ya mashine kwa matatizo ya:

Wenye matatizo ya mgongo.
Wenye matatizo ya kupooza(Stroke).
Wenye matatizo ya kuumwa na kichwa mara kwa mara.
Wenye matatizo ya kutoona vizuri.

Pia tunatibu na kuponya magonjwa yafuatayo:
Kisukari,presha,mafuta kwenye damu( Cholesta), matatizo ya meno,vidonda vya tumbo,pumu,saratani,tezi dume,matatizo ya ngozi,alerge( Aleji), matatizo ya kizazi na matatizo ya mifupa.

Tupo Dar-es-Salaam,Kariakoo mtaa wa Uhuru.

Kwa mawasiliano na maelezo zaidi piga namba 0652588017.
 
Kuna ugonjwa flani hivi wa aleji wamasai wanaita kambaku, basi siku moja wakati nasoma udom mtu akaniambia wachina ni wataalam wa hayo mambo na wanahospitali yao maeneo ya airport dodoma. Nikaenda hapo wakanipima wakanipatia dawa nikarudi home. Baada ya mishe zangu nikachukua dozi nikabugia..hamadiii nikajishtukia nimelazwa hosp ya chuo, kumbe walinipa SUMU tena sumu kali mwilini. Nashukuru nilipona na maisha yakaendelea.
 
hukuwashtaki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom