Afungwa jela miaka 35 kwa kumtusi Mfalme Facebook

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Kijana ajikuta matatani na kufungwa miaka 35 jela baada ya kupost picha na video zinazodhihaki familia ya kifalme huko Thailand.

Mahakama ya kijeshi ilimchukulia hatua hiyo ambayo hata hivyo ilipunguzwa kutoka miaka 70 kwa sababu mtuhumiwa alikiri kosa.

Shubaamit!
-------

Man jailed for 35 years in Thailand for insulting monarchy on Facebook

A Thai man has been jailed for 35 years for Facebook posts deemed insulting to the royal family, a watchdog said, in one of the harshest sentences handed down for a crime that insulates Thailand’s ultra-rich monarchy from criticism.

A Bangkok military court convicted him of 10 counts of lese-majesty for posting photos and videos of the royal family on a Facebook account that purported to belong to a different user.

Wichai, 34, whose last name was withheld to protect his relatives from ostracism, was accused of using the account to slander a former friend, said iLaw, a group that tracks royal defamation cases.

“The court punished him with seven years per count. Altogether he was given 70 years, but it was reduced in half because he confessed,” said Yingcheep Atchanont from iLaw.

Lese-majesty cases are routinely shrouded in secrecy, with media forced to heavily self-censor the details to avoid violating the broadly interpreted law.

Reporters were barred from entering the military court where Wichai’s verdict was read.

Later on Friday, a criminal court sentenced another lese-majesty suspect to two and a half years in jail for uploading an audio clip from an underground political radio show that was deemed insulting to the monarchy.

Use of the draconian law has surged under a royalist junta that grabbed power in 2014, with more than 100 people charged since the coup.

Prosecutions have continued under Thailand’s new king, Maha Vajiralongkorn, who took the throne in late 2016 after the death of his deeply revered father.

Observers have been closely watching how the new king approaches the controversial law, which in effect blocks scrutiny of Thailand’s opaque and powerful monarchy.

According to iLaw, Wichai initially denied the charges, but later confessed after waiting for more than a year in jail for the court proceedings to begin.

Lese-majesty suspects are rarely acquitted or granted bail. The United Nations’ rights body has warned that Thailand’s widespread use of the law “may constitute crimes against humanity”.

By The Guardian.com
 
Kwetu ukifanya hivyo unapotezwa moja kwa moja.
Tukiwahoji wanasema hawajui.
 
Mfalme ni zaidi ya rais; ni zaidi ya waziri mkuu. Popote penye ufalme daima heshima mbele "ee mfalme uishi milele" ndio heshima zao hao. Ufalme ni madaraka ya kurithi; kwanini umtukane mtu ambaye madaraka yenyewe aliyapata sio kwa kupenda bali kwa lazima?

Ndio; ni kwa kuzaliwa tu aliyapata hayo madaraka tofauti na akina Trump; kwanza waliweka nia; wakaingia kwenye michakato mbalimbali hadi kufika hapo walipo; so, waliyatafuta madaraka so they have to accept the bitter side of power tofauti na mfalme.

Anyway, hata hivyo sio vizuri kumtusi binadamu yeyote no matter ana nafasi gani katika jamii.
 
UNAANZAJE KUMTUKANA KIONGOZI WA NCHI HADHARANI??BORA UMTUKANE KIMOYOMOYO UMALIZE HASIRA ZAKO.HADHARANI WATU WANAWEKA FACT SIO MATUSI AU KEJELI
Mkuu umeshawahi kumuona huyo mfalme mikato yake Google anaitwa Maha vajiralongkorn uniambie ww mwenyewe
 
Mfalme ni zaidi ya rais; ni zaidi ya waziri mkuu. Popote penye ufalme daima heshima mbele "ee mfalme uishi milele" ndio heshima zao hao. Ufalme ni madaraka ya kurithi; kwanini umtukane mtu ambaye madaraka yenyewe aliyapata sio kwa kupenda bali kwa lazima?

Ndio; ni kwa kuzaliwa tu aliyapata hayo madaraka tofauti na akina Trump; kwanza waliweka nia; wakaingia kwenye michakato mbalimbali hadi kufika hapo walipo; so, waliyatafuta madaraka so they have to accept the bitter side of power tofauti na mfalme.

Anyway, hata hivyo sio vizuri kumtusi binadamu yeyote no matter ana nafasi gani katika jamii.
Kuna watu hawawezi kujizuia wakipandwa na mori,, kinachofuata sasa ni pang of remorse to him.
 
Mkuu umeshawahi kumuona huyo mfalme mikato yake Google anaitwa Maha vajiralongkorn uniambie ww mwenyewe
Hata atembee uchi; ni mfalme tu. Ndiye mfalme wao na chote kilichomo humo ni mali ya mfalme hadi watu wenyewe ni mali yake.
 
Duuuh....aiseee....pole yake .....haya mambo ya ufalme haya hayafai tena aisee ktk karne ya 21..yaan watu kwenye hiz koo za kifalme wanazaliwa na hati miliki ya maisha bora milele yote.....si haki hata kidogo bora hata sie Tz mfano...mtu akizingua tunampa mitano tu....akijitahidi tunampa kumi ya kukutawala...baada ya hapo full stop....ili kukomesha watu kujiwekea hati miliki ya nchi....
 
Back
Top Bottom