Ningekualika kutazama nchi zote husika katika huu mfumo wa PayPal. Nakuhakikishai hutopata nchi ambayo uchumi wake ni mdhaifu. Lakini sitaki hio iwe hoja. Natumai utakubaliana nami PayPal hishirikisha nchi ambazo zimeweka mikakati shwari kupigana na ulanguzi wa fedha, nchi ambazo benki zao ni imara kabisa, na pia, nchi ambazo raia wake sio watu wanaopenda kuvuna chenye hawakupanda, thibitisho kamili shutuma (sana sana kutoka kwa WaTz) eti wakenya ni watu walaghai hazina msingi wowote. na labda hili ndilo limefanya PayPal kukwepa nchi kama vile Nigeria, Russia na Ukraine.