Do you remember me posting a post about Google services in Kenya ie paying all its African employees in Kenya Shillings...due to what it said about confidence in Kenyan Economy?
Now Paypal has also landed in Kenya.Making it the 2nd African Country where its citizens can send and receive money via Paypal only after South Africa.
i know this will spur E-Commerce in Kenya.Hongera Paypal in the trust you have put on Kenya banking Industry.
Check This post
During the world cup period it was with much excitement that paypal announced they would add South Africa to the list of countries that they would enhance support for by enabling members to recieve funds to their paypal accounts.Kenya is now proudly on the same list and together with South Africa are the only two countries in Africa from which you can send and recieve funds to your paypal account.
For a list of which features are supported in which country you can visit their country list page here;
Link ya paypal kwenye post #1 inaelezea nini kinaweza kufanywa na mteja aliyepo SA na Kenya. Isome kwanza.Sidhani kama huko sawa katika hili.Angalia implementation ya PayPal in South Africa...haitegemei kuwa na account ya bank huko marekani...kuna taasisi ya fedha inaitwa First National Bank ambayo imeshughulikia hili.Nafikiri changamoto itakuwa kuwa bado mfumo hauja-ruhusu matumizi ya Rand(dollar is still in use) otherwise implementation inaweza kuwafikia watu wa kawaida kabisa!
0D y r u replying my post a thousands times?? we kama ni mtz wala huko na haja (tena kubwa) ya kuanza kusema mimi ni mtz, maelezo yako tu yanaonesha unajua kwa details zote sijui mimba za ODM sijui hiyo ukichanganya na unavyobash tz unaonesha kwamba wewe ni nyang;au tu, na HUNA JIPYA. Nimeshasikia arguments za kijinga na kipumbavu kama hizo a millions times before..I just wonder kama kenya ingekuwa na maendeleo kama US au Europe, nadhani mngeishiwa na maneno ya kujitapa au tungetoboka na mashkio..u nyang'auz r just pathetic.
Sorry kwa kujibu post yako mara nyingi. Nafanya hivi kwa sababu wewe ndo umeanzisha. Ukweli utabaki mimi ni Mtanzania (Nakubaliana nawe kuwa hakuna sababu ya mimi kulirudia hili). Jambo linalonisikitisha ni wewe kutumia lugha kali dhidi yangu (....kijinga na kipumbavu kama hizo....) badala ya kujibu hoja. Sikusudii kukushambulia wewe kama mtu binafsii kwani sidhani hii ndiyo nia ya mjadala huu. Mimi kufahamu habari za ODM ni matokeo ya ufuatiliaji wangu. Je nikisema kuwa wimbo wa Truly Madly Deeply wa kundi la Savage Garden ulikaa juu katika chart za dunia kwa wiki 52 nitakuwa nimekuwa mtu wa Australia? Naomba ukanushe au unisahihishe kama takwimu nilizotoa kuhusu nchi yetu ni za uongo. Kosoa japo takwimu moja halafu utaje ukweli unaoujua.
Eid Mubarak Abdulhalim.
Takwimu ni kwamba Kenya ni nchi maskini kama Tz, hakuna tofauti kama hiyo unayojaribu ku-insinuate. Hivo nakerwa sana na watu kama wewe na fikra zenu haba ndo maana nikasema Kenya ingekuwa imeendelea kama mataifa ya dunia ya kwanza hakika tungepata tabu sana na majigambo.
Hizo sijui paypal, sijui google is only the matter of arrangements kufuatana na investments za mzunguz, historical, economical na factors zao nyingine ambazo huezi kuzijua na utaishia kukisia tu na kukosea.
I would care less kuongelea Kenya this Kenya that, Tz is country of BIGGER PROSPECTS economically. Hivo inatakiwa kama ni kujilinganisha ijilinganishe na the best, sio nchi ambazo bado zipo kundi lilelile na sisi.
Sasa kwa kusema hayo nadhani points zangu zimeeleweka.

Mimi kama Mkenya (ama Nyang'au, jina tujulikanalo nalo huko TZ) nitafurahia sana Nchi ya TZ ikipita nchi yangu ki-Uchumi, kwa maana naelewa kama mwanabiashara naweza pata wateja wengi sana huko ambao watakuwa na uwezo wa kununua bidha zangu.
Watanzania nao wafaa kufurahia hatua Nchi ya Kenya imechukua kuimarisha Uchumi wao maanake wananchi wote wa Afrika mashariki watanufaika na namna hii au nyingine.
Takwimu ni kwamba Kenya ni nchi maskini kama Tz, hakuna tofauti kama hiyo unayojaribu ku-insinuate. Hivo nakerwa sana na watu kama wewe na fikra zenu haba ndo maana nikasema Kenya ingekuwa imeendelea kama mataifa ya dunia ya kwanza hakika tungepata tabu sana na majigambo.
Hizo sijui paypal, sijui google is only the matter of arrangements kufuatana na investments za mzunguz, historical, economical na factors zao nyingine ambazo huezi kuzijua na utaishia kukisia tu na kukosea.
I would care less kuongelea Kenya this Kenya that, Tz is country of BIGGER PROSPECTS economically. Hivo inatakiwa kama ni kujilinganisha ijilinganishe na the best, sio nchi ambazo bado zipo kundi lilelile na sisi.
Sasa kwa kusema hayo nadhani points zangu zimeeleweka.
Sioni cha kufurahia sana hapa. Kimsingi, kampuni nyingine ya kimarekani inatumika kutuma hela kati ya wakenya (for the most part), na kuwatoza ada kwa huduma hii.
Ningeona vizuri zaidi kama kampuni ya Kikenya ingefanya hii kazi.
Ni sawa kusema hili linaonyesha umadhubuti wa uchumi wa Kenya, kwa maana ya kwamba wakubwa wameona kuna kivutio. Lakini kushangilia hili ni sawa na kusema "Ona shamba langu lilivyo na mavuno mazuri, hata bwana mkubwa anataka kuja kuvuna kwangu"
Hii mentality ya kuabudu weupe wenzetu wanayo sana, hata pale wanapopigwa bao bila sababu huku njia mbadala zipo.
Wako wapi kina Ayisi Makatiani wa leo ? Kenya kama ina uchumi mzuri inaweza kuanzisha paypal yake yenyewe na kuwatoa hawa wamarekani kwenye hii biashara, na pengine hata kuanza kulinyenga soko la majirani zake kama Tanzania na Uganda .
That will be a better look for them.
Jiggah angewaambia "You are only a customer, walking in the presence of hustlers" what's to be proud of in that ?
Of course it would have been better if Kenya or Tz would have it's own Paypal as you say, but currently there are a lot of Kenyans who work online for the US, and for a long time money transfer has been hard, in that, the process itself could eat half of your pay, but as you know many Online US firms support Paypal so much these days, that's why it's a relief for many Kenyans, in fact, in my opinion, guys are harvesting directly from the US economy as opposed to losing money to the US.