After all is said and done...

Jidanganye mzee mambo yanabadilika... Alianza Ancient Egypt, ikaja Babylon, wakaja kina Kina Alexander T.G,akafuata Rome, wakafuata kina Spain, Akafuata UK,then US... Mambo yanaanza hivihivi kwenye utegemezi.... Fikiria dunia yote imemuangalia mchina kwa sasa,wewe huhisi kitu tu hapo.... Hata kabla ya hili janga dalili zilikuwepo, Na Washington walishawashtukia kasi yao mapema sana.
 
Wewe mwenye akili unamiliki nini apa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu Ana mlilia mchina!!
Mchina kaota mkia mda Sana!!
 
Hii ni vita ya 3 ya dunia, ambayo silaha za moto zitatumika kidogo sana. Na mshindi atapatikana, uwezekano mkubwa akiwa ni Mchina. Nimeona picha moja ya wafanyakazi wa kiwanda cha magari China wakila chakula mchana, hakika wamejipanga. Mavazi yao wote ni sawa na madaktari waliokuwa Wuhan. Wanakula kila mtu meza yake umbali wa mita moja kati yao. Hapa kwetu madaktari wetu wanavalishwa mask na surgical gloves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajamaa walishajipanga kitambo. Hii ni master plan ya Jin Ping ndo maana wameamuwa awe rais wa maisha.
 
Alimfukuza mama mmoja aliyeteuliwa na Obama ambaye alihusika na majanga kama hii corona nk.
 
Wajamaa walishajipanga kitambo. Hii ni master plan ya Jin Ping ndo maana wameamuwa awe rais wa maisha.
Sidhani kama wamelitengeneza makusudi ila wamelitumia vizuri hili janga (japo limeanzia kwao) kwa faida yao.

Siamini nchi kama Marekani na wenzake wa Ulaya kupitia mashirika yao nguli ya kijasusi yangeshindwa kufahamu njama za China kuunda kirusi (Kama zingekuwepo).
 
Mkuu kuna njama nyingi sana baina yao hazifahamiki. Ni chache ndo zinagundulika. Mfano kuna mwanamke jasusi wa kichina ambaye aliwahi kufanikiwa kuingia hadi Mar-a- Lago kwa Trump kule Miami Florida na akajimix na wageni waalikwa wanaokutana na Trump kwenye cocktail parties zinazoandaliwa pale na Trump.

Hivi wangegunduwa vipi zaidi ya kusubiri kuona ni nani mnufaika mkuu? China inawezaje kujiandaa kiasi kile? Sidhani hata kidogo kuwa mchina amefanikiwa kuudhibiti huku akiwa hajui kama mataifa mengine. Hata kule China kuna daktari aliwekwa ndani kama sikosei kwa kutoa taarifa za corona. Hii nayo inaleta ukakasi.

Virusi havitengenezwi kama nyuklia ambapo kuna mass enrichments. Ambapo movements za materials zinaweza kunaswa na satellites etc. Madai yao wachina, ni kwamba vilianzia kwenye soko la samaki huko Wuhan. Hivyo virusi siyo rahisi kuwa detected kama shambulio lingine lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ