Mkuu nakuunga mkono kichwa,miguu,mikono,niniliyu na kila kiungo cha mwili wangu.Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.
Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!
Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!
Hongera Afrodensi.
Hahaha!! HYGEIAHallo WanaJF

Losambo..Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!
Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!
Hongera Afrodensi.
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!
Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!
Hongera Afrodensi.
Bishanga..Losambo,hujipendi? Au hujui kwamba ukiona vya elea.....hiyo kozi ya graphics kuna mwenyewe aliyelipia.....
queenkami...afadhali humjui maana ukimhonga dunia sijui wengine utatupeleka wapi lol (joking).
Hongera kwako afrodenzi kwa ujuzi wa kupamba kimtandao
dahhhhh samahani sana mpenzi..AD, afu mie sijafurahi
Nilikuomba unifundishe kuchora mie na Azimio Jipya
Afu ukapotelea sijui wapi.
Ila hongera kwa kuchora kwa kweli(Nina wivu)