Hata kama wanauza gongo kanisa halina mamlaka ya kuchoma moto au kuharibu kiwanda. Hii imekuwa desturi mbaya sana kwa viongozi wetu wa dini..ilianzia Zanzibar sasa naona na hawa Efatha wamefuata mkondo tena kanisa linaloongozwa na nabii na mtume ambaye anatikiwa kutumia busara kuliko nguvu kama alivyofanya..
Biblia ilishasema na yeye
mwenyewe anasoma
Siku za mwisho watakuja
manabii wa uwongo
ndo hao sasa kila
wapo!. Hivi kama
ni mkristo unataka
kusema huu c siku
za mwisho?. Mtu anala
la akiamka anajiita NABII
AU MTUMEEE!!!!!! Majina
yoooote hawajayaona?
Duuu mtume!!!! Duuu!!
nabi!!!!!.