Afrika tunaweza

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Afrika tunaweza

Afrika kwangu ndiyo bara pekee likifanikiwa ndo tutakombowa nchi nyingine maskini kwenye mabara mengine.

Haya ya kina Urusi sijui Marekani wote hawa wanapambana kwasababu ya mataifa yao sio kwamba wakifanikiwa wao ndo sisi uku Afrika tunafanikiwa.

Kuna mpumbavu mmoja YouTube unafurahi kuona Mrusi anavyowatesa NATO eti Mrusi ametufunguwa macho ni upumbavu mtupu hata huyo rusia mwenyewe akiwa world super power tabia zake zitakuwa kama za usa tu.

Kwa hiyo Afrika tunapaswa kusimama kabisa, hawa wenzetu wanatuonea kisa teknolojia yao ipo juu saana sio kwamba wana nguvu kutuzidi apana bali wao wanatumia teknolojia yao kutudhibiti sisi

Kwa hiyo tukiona hatuwezi kufanya technolojia kama yao kujiprotect tutumie hata uchawi maana uchawi ndo teknolojia pekee ya mtu mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…