Wakati USA anatuletea vita, China anatumia msuli wake kiuchumi kushindana na AFRICOM.
Chinese President Hu Jintao on Thursday offered $20 billion in loans to African countries over the next three years, boosting a relationship that has been criticised by the West and given Beijing growing access to the resource-rich continent.
USA haijafanya lolote zuri kwa Africa. Kujihusisha kwa na Africa siku zote ni kwenye vita na mizozo ambayo wenyewe waimeichochea. Wanajaribu kuivuruga Congo sababu ya Wachina wana fanya mabo mengi huko.