AFRICON 2013......mmmh!!!

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Wadau mzima wote??
Hivi mwenzenu hapa ndo panaponichanganya sana....wakati wenzetu wanzungu katika mechi zao wanafungana magoli kibao tena kwa mbwembwe za kufa mtu na mpira wa kasi...Sisi huku kwetu mpaka sasa almost mechi mbili sasa afrika kusin vs cape verde na angola vs morocco mpaka sasa hakuna goli...Hii ina maanisha nini??? tuna mabeki bora sana au washambuliaji wetu wabovu??
 
positively,unaweza kusema tuna magolikipa wanaodaka kama nyani!si uliona golikipa wa angola lama alivyookoa shuti ambalo hata casillas angefungwa?
 
quality ya wachezaji ipo chini....sasa labda ghana na akina drogba wakitinga tutaona fabo
 
jana niliangalia washambuliaji wa bafana ni ovyo'watatolewa mapema sana
 
Hamna lolote wachezaj wa kiafrka hawauthamin uafrka wao hata kushndwa kuonesha cheche zao,ni tofaut kabsa na wanapocheza ktk clab zao ndo maana nakumbuka sana afcon za
1996,1998,2000,2002,2004 na 2006 Mwisho
hizo ndzo wachezaj walionekana profesno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…