Sisi hatuchaguliwi, tunapambana kupata nafasi ambazo inajulikana mapema kwamba ukishinda vile, unaenda pale..!! SIyo kama nyie wa kuteuliwa..!! Kama hayo pia yametokea kwenu wakati wa MVP.Nyie wakuchaguliwa mtapangana lini?
MhhhhSisi hatuchaguliwi, tunapambana kupata nafasi ambazo inajulikana mapema kwamba ukishinda vile, unaenda pale..!! SIyo kama nyie wa kuteuliwa..!! Kama hayo pia yametokea kwenu wakati wa MVP.
Gia zilibadilishwa angani ilimradi Saido awe mmojawapo wakati kwenye magoli yake kuna ya penati..!! Ni muendelezo wa hayo hayo ya kutokuwa na vigezo vya kukufikisha mahala fulani
Njyoo vileMhhhh
Tulizana kibibi...zee la kufa kiume likafe Tena.Yanga aka vyura, vipi hawamo?
Aah bana, Yanga aka vyura, vipi hawamo?Tulizana kibibi...zee la kufa kiume likafe Tena.
🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe una chura au tako ya kijapani?
Bila shaka unawashwa, babu hakukuni ipasavyo.
Viti MaalumuWa kuteuliwa wanapangana sasa..!!
Wazee wa Viti Maalumu,hamna tofauti na wakina Halima Mdee.Nyie wakuchaguliwa mtapangana lini?
Hivyo ni viti maalumuYanga aka vyura, vipi hawamo?