African Sports: Simba SC has signed pre-contract with Ajibu and Yakubu(Azam FC)

Rais wa Ghana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wachezaji pale simba wameshindwa kupigania nafasi kama Mo na Gyan hivyo AJIBU atatufaa... ukizingatia ni mchezaji wa home na uwezo wake unajulikana.
Tukumbuke KICHUYA hayupo na MO, NDEMLA na GYAN wanaweza kuondoka ,.. Ajibu kurudi ni sawa.
Yakubu pia ni mpambanaji sana.. Wawa amecheza game nyingi anahitaji msaada , hivyo Juurko si rahisi kubaki msimbazi.

Simba nguvu 1
 
Sasa wewe kwa wachezaji wa ndani ungemsajili nani kama kiungo mshambuliaji tofauti na Ajibu? Kumbka wa nje wanatakiwa 8 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhani ajib anaweza muweka bench nani kati ya Niyonzima, rashid juma na Mkude? maana hawa wote wanaouwezo mkubwa lakini pia hubadilika kadri mchezo unavyokuwa mfano kasi ya mpira na ukabaji.
Ajibu mara nyingi anacheza mpira ulio poa japo ana assist nying katika vpl
 
Huenda akatumika zaidi kwenye mechi za Tpl na bonanza kama sport pesa ila michuano kama CAF Champions League and Confederations itakuwa vigumu kuaminiwa labda abadilike.
 
Kama kuna mtu anaweza kumshauri kocha kwa mech ya mazembe pale centre back aanze kufanyia mazoezi pattern ya Kote na nyoni kisha wawa kwa kuwa ana makosa madogo madogo lakini yanatugharimu na pia anapenda kupanda angepangwa diffensive midfielder no6

Mwaka juzi tulikuwa hatuna beki na kotei alicheza vizuri sana pAle mkoba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnkey unatumia sehemu ya kutolea haja kubwa kuzungumza? Hapana unakosea sana.kila kiungo kitumike kwa makusudi yake.

 
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.
Mkuu hii post bado hawajaiona. Huo mtandao ni uchwara
 
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.
Media inareport inachopata kutoka reliable source,na sio kuripoti habari nazozipenda tu. Habari za uwongo za kunyunyizia madawa ilitolewa na Vita wenyewe na msemaji wa Yanga(sio kocha yule Zahera) kivitendo,kosa la hiyo media kuripoti ni lipi?
 
Vya kimataifa wapi,ni page za Tz tu hizi....kama huamini angalia mwandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…