African Sports: Simba SC has signed pre-contract with Ajibu and Yakubu(Azam FC)

Rais wa Ghana?
View attachment 1055892

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.

Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.

Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wachezaji pale simba wameshindwa kupigania nafasi kama Mo na Gyan hivyo AJIBU atatufaa... ukizingatia ni mchezaji wa home na uwezo wake unajulikana.
Tukumbuke KICHUYA hayupo na MO, NDEMLA na GYAN wanaweza kuondoka ,.. Ajibu kurudi ni sawa.
Yakubu pia ni mpambanaji sana.. Wawa amecheza game nyingi anahitaji msaada , hivyo Juurko si rahisi kubaki msimbazi.

Simba nguvu 1
 
Sasa wewe kwa wachezaji wa ndani ungemsajili nani kama kiungo mshambuliaji tofauti na Ajibu? Kumbka wa nje wanatakiwa 8 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhani ajib anaweza muweka bench nani kati ya Niyonzima, rashid juma na Mkude? maana hawa wote wanaouwezo mkubwa lakini pia hubadilika kadri mchezo unavyokuwa mfano kasi ya mpira na ukabaji.
Ajibu mara nyingi anacheza mpira ulio poa japo ana assist nying katika vpl
 
Huenda akatumika zaidi kwenye mechi za Tpl na bonanza kama sport pesa ila michuano kama CAF Champions League and Confederations itakuwa vigumu kuaminiwa labda abadilike.
 
Kama kuna mtu anaweza kumshauri kocha kwa mech ya mazembe pale centre back aanze kufanyia mazoezi pattern ya Kote na nyoni kisha wawa kwa kuwa ana makosa madogo madogo lakini yanatugharimu na pia anapenda kupanda angepangwa diffensive midfielder no6

Mwaka juzi tulikuwa hatuna beki na kotei alicheza vizuri sana pAle mkoba
Mkuu. Taharifa zako nyingi nizakweli. Juzi ulikuja na tetesi za tuisenge, naleo tumepata habari kwamba amesha saini simba.

kwa habari ya ajibu na yakubu. Ni hari njema hasa kwa yakubu kusaidiana na paschal wawa na erasto nyoni pale nyuma.

wawa ni beki mzuri sana ila anakosa mtu wa kaliba yake. Ulisema wawa aondoke lakini wawa ni kiraka mzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnkey unatumia sehemu ya kutolea haja kubwa kuzungumza? Hapana unakosea sana.kila kiungo kitumike kwa makusudi yake.

Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
 
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.
Mkuu hii post bado hawajaiona. Huo mtandao ni uchwara
 
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.
Media inareport inachopata kutoka reliable source,na sio kuripoti habari nazozipenda tu. Habari za uwongo za kunyunyizia madawa ilitolewa na Vita wenyewe na msemaji wa Yanga(sio kocha yule Zahera) kivitendo,kosa la hiyo media kuripoti ni lipi?
 
View attachment 1055892

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.

Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.

Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
Vya kimataifa wapi,ni page za Tz tu hizi....kama huamini angalia mwandiko
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom