African Satellite World and Sat Gear

Yaaani yaaani i am so happy today

i finally did it

i succesfully combined 76.5 (Primary) and 68 (secondary) with all Tps dancing including 3880 on apstar
Whats your dish size and lnb types? Bet an 8ft.
 
msaada tafadhali
receiver yangu ya continental inaleta channel za free to air karibia 44 lakini ziko scrambed. nifanyeje?
tatizo hili limeanza kama siku 7 hivi ila mwanzoni zilikuwa ziinaonesha vizuri.

Labda hujalipia huduma hiyo....
 
Very possible on a good 8ft and clear East.
 
Horn spot bado ipo kweli
iko but yule jamaa mwenye kuoperate remote naona kuna siku kamuguka ilikatika akaiendea kama siku mbili so ikawa unavailable😀.with the football season winding down naona nikihama nirudi 52.5e ama 7w.but am hooked on van helsing so niko na dilemma hapo.na hii kitu sijui kama inaoperate from wartorn somali au stable somaliland
 
Hio V8 Golden naskia no mambo mbaya ina master keys. Wauzaji hapa inatoka mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…