Huku ushirombo hapafanani na Daslam ujuweeeee.....[emoji69] [emoji69] [emoji69] [emoji69][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji acha comedy basi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ndomana ukaja huku kujipea maujiko kwa mbio za mwendo wa dunia.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Basi sawa comrade
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa nawaza kumgawa tu kwakweli, maana nishajichokea na kesi zake....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Au ngoja nikutumie zile piem ili tupate pakuanzia simulizi
Ohho..........[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na mie nionekane nachangia
Nishazituma shemelao....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu zitume.
Kuna mitazamo ni ya kuiangalia mara mbilimbili kwakweli!!! Kwahiyo ukipitia shida basi watoto nao wapitie shida? Basi na watoto wetu tuwapeleke kayumba kama tulivyosoma sisi si ndio!!! Hauwezi mfundisha mtoto jinsi ya kuzisaka hadi nae apitie shida ulizopitia?
Normal life. Afue Nguo zake.ajue kupika, kuosha vyombo,kupiga deki, Ajue budgeting, ajue kutongoza ( men) nk.Kuna mitazamo ni ya kuiangalia mara mbilimbili kwakweli!!! Kwahiyo ukipitia shida basi watoto nao wapitie shida? Basi na watoto wetu tuwapeleke kayumba kama tulivyosoma sisi si ndio!!! Hauwezi mfundisha mtoto jinsi ya kuzisaka hadi nae apitie shida ulizopitia?
Hapana mkuu, ujumbe haimaanishi watoto waachwe wakiteseka, bali mfumo wa maisha wanayolelewa ubadilishwe, badala ya kupewa pesa inatakiwa wafundishwe kuitafuta pesa na si kulipwa mshahara usio na kazi, mala nyingi watoto wanaopewa hela hovyo huwa hawafanyi maendeleo bali ni anasa tuacheni ukoloni wa kutesa watoto, kama ulipata shida si lazima na mwano apate shida.
hata wazaz wa kizungu hao wana ukoloni flan hivi.
angalia watoto wa Beckham wanavoish, watoto wa Trump watoto wa Cr 7, mbona wanakula bata tuu!!.