African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Basi kama ni hivyo unaweza kusema kuwa Yanga ina mashabiki wengi kuliko hata Madrid kwa kigezo hicho hicho

Ndio maana nimeuliza imetumika formula gani kupata hiyo idadi??

Bado sijajibiwa hilo swali
Wamefanya research mkuu , kwanza mashabiki wengi wa mpira hawajui hata kama hizi team zina accounts za social media, na itoshe kusema social media sio chanzo cha kujua nani ana watu wengi nani hana, me mshabiki wa Arsenal ila nimewafollow man united, madrid, barcelona na vitu kama hivyo mkuu, Itoshe kusema Nusu ya wana Tz ni wana Yanga…Mbele daima…
 
Sahihi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivyo kumbe hata Ihefu inaweza kuwa na mashabiki wengi kuliko Yanga.

Utapinga kwa kigezo gani?
 
Siku hizi Laizer mchimba madini ya tanzanite anamiliki timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…