African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Makolo wanachoizidi Yanga ni magoli ya kufungwa na uchawi tu.
 
Mkuu, formula ileile iliyotumika kupata mashabiki bora
 
Washabiki wengi wa Yanga umri umeenda, wanawake na wa maeneo ya vijijini ambao hawako active mitandaoni sana.
 
Majini Subiani
 
Sio washabiki....ni wanachama waliosajiliwa weka record sawa
 
Haihitaji hata torch hii kujua kabisa engineer elsi kawadanganya caf kuhusu uhalisia wa timu yao ya yanga.. washabiki millioni 35.. uongo wa asubuh kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…