murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
"with cooperation of African governments."
Very wise commend.I hope Rwanda Government will also cooperate with FDLR as FDLR is ready to cooperate with Rwanda government in talks.
Wise gani hapo? viongozi wa hao FDRL wanaishi ulaya waanze wao kwanza ndiyo sisi africa tufate. hapa UN na DRC wanacheza game, hakuna wa kuwapiga FDRL, wamepigana kuisaidia serikali ya DRC dhidi ya M23, Tanzania inajua ikiwapiga itakuwa imekula matapishi yake baada ya kutoa ushauri wa PK kuzungumza nao, harafu tukawapige. thubutu nani wa kufanya hivyo? hao FDRL wengi wamezaliwa baada ya mauaji ya kimbari.
nilijua labda aliongea chancelor wa ujerumani, kumbe ni balozi wa ujerumani aliyeko kwenye kale kanchi kadogo kama mkoa wa dodoma kenye mji mkuu wa kigali ambao uko sawa na mji wa arusha. balozi kwasababu bado anaishi hapo kwenu lazima atasema hivyo ili kuwachota akili awachunguze wee lakini akimaliza mda wake akapanda ndege kurudi berlin, utakuja kusikia atakachosema hutaamini macho yako. halafu, nimeamini kweli kagame halali usingizi kwa fdlr. fdlr hawajafika hata 3000, kagame ana jeshi la watu 30,000 lakini halali usingizi anawaogopa hawa jamaa yaani pichu ya kagame kila siku inachafuka kwani kitu kinagonga pichu kwa woga kila siku. kama yeye hakuwaua wahutu kwanini anaogopa, kama hajawaua wacongo milioni tano anaogopa nini? siku zake zimehesabiwa.
murutongore
Nilijua labda aliongea chancelor wa ujerumani, kumbe ni balozi wa ujerumani aliyeko kwenye kale kanchi kadogo kama mkoa wa dodoma kenye mji mkuu wa kigali ambao uko sawa na mji wa arusha. balozi kwasababu bado anaishi hapo kwenu lazima atasema hivyo ili kuwachota akili awachunguze wee lakini akimaliza mda wake akapanda ndege kurudi berlin, utakuja kusikia atakachosema hutaamini macho yako.
Halafu, nimeamini kweli kagame halali usingizi kwa fdlr. fdlr hawajafika hata 3000, kagame ana jeshi la watu 30,000 lakini halali usingizi anawaogopa hawa jamaa yaani pichu ya Kagame kila siku inachafuka kwani kitu kinagonga pichu kwa woga kila siku. kama yeye hakuwaua wahutu kwanini anaogopa, kama hajawaua wacongo milioni tano anaogopa nini? siku zake zimehesabiwa.
Nadhani hapa kuna point tunamiss...Monusco wako kurudisha amani Rwanda au DRC? Mbona Chigali inaonekana kuwa na ki font front kuliko wenye nchi yao DRC.
DRC weshasema wata deal na FDRL kivyao vyao...hao Monusco nadhani wangepaki virago tu warudi makwao...waheshimu sovereignty ya DRC....hilo li budget la UN lingeelekezwa kuipa nguvu DRC hasa kijeshi.
Hao Rwanda watulie tu as long as hao FDRL hawajatia mguu kwenye ardhi yao...wa focus kwenye kulinda mipaka yao na si kuingia kwenye nchi ya watu...maana kufanya hivyo sasa ni kujitangazia vita na DRC.
wewe mambo ya kabila ni kamchezo anachezea wazungu amegundua kwamba hawa wazungu nia yao ilikua kuwaondoa watusi congo halafu afuatie kabila sasa jamaa kawageuka na atafurahi kua na congo isiyokua na amani ili aendelee kuongoza akidai yuko anatafuta amani mashariki ya kongo,mzungu anajua mtusi akitawala congo ulaji na uporaji utakua mwisho.
....halafu mkiambiwa mnataka kuleta hima empire mnakataa. cc: nyumba kubwa.
Unajua ukisema FDLR si kusema hao materahamwe tu bali na nchi kama france,tz,congo na south afrika....kwahiyo kama wewe huelewi yanayojili huko congo tulia usi seme usiyo yajua.
siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.
so basically what you are saying is that the tutsis are inherently better leaders than the rest of us bantus isn't?
wabantu sio kabila vile vile, ni group la makabila yenye similar features like FLAT NOSES, etc, ila turudi kwenye comment yako:wewe jmali nani kakwambia the rest ni bantus?uliza vizuri afrika sio watusi na wahutu tu.....kuna makabila mengi sana.
let's forget about bantus, maana najua tutakesha hapo, let me rephrase my question: "so basically what you are saying is that the tutsis are inherently better leaders than the rest of us "non-tutsis" isn't?siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.
wabantu sio kabila vile vile, ni group la makabila yenye similar features like FLAT NOSES, etc, ila turudi kwenye comment yako:
let's forget about bantus, maana najua tutakesha hapo, let me rephrase my question: "so basically what you are saying is that the tutsis are inherently better leaders than the rest of us "non-tutsis" isn't?
Hhahahaahaha....mkabila namba moja anaongea. Utakufa na pressure wwee...nilishakuambia re-writing the history a'int gonna happen bwaaaay. Keep on dreaming.
siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.
Pitting one against another doesn't erase your tribalistic DNA dimwit.
siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.
.....hiyo "tribalistic DNA" unayozungumzia iko kwa jmali anayepinga hiyo statement above au mukamasimba aliyeitoa na kuitetea? :heh: