Jamani nituma maombi kwenye hii foundation na jana walinipa kila kitu cha kufanya siku ya workshop kwa wale tulio kuwa selected hasa wa hapa dar.sasa naona wananichanganya kwani wanasema semina itafanyika trh 22.5.2010 hapa blue pearl hotel na tulipie 10000 then tutarudishiwa siku wa mwisho wa semina.naona km hawa ni matapeli kwani ukiwapigia simu uwaulizie wanakutumia sms kuwa wapo bize.
Mm naomba tuwasiliane kwa wale walio tumiwa sms tuone nn jinsi ya kufanya .ni pm au piga 0765268577