Africa kila kitu ni comedy

hahahahaha! nimejikuta naangua kicheko
 
Ni zaidi ya lumbesa.

Hii haifai ni hatari sana
 
Umenchekesha sana mpaka mtot alikuwa amelala kaamka yan
 
Mjapan akiona gari yake ifavyofanywa atalia sana.
 
Hapo ndio uwezi kujua Tanzania tupo vizur kidog ukilinganisha na nchi nying za kiafrica hiyo ni hali ya kawaida ktk nchi nying za kiafrica kuona vitu tuko kama hivyo
 
Sijui tumerogwa? Afu alieturoga nani ili iweje?
Kweli hili ni bara la giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…