Africa has been robbed again

Let you continue suffering just like how we suffered when we lost our good friends as autorithariam under JPm did against them. Paying what he sow. He was a total faillure not a hero.
 
Wauwaju wakubwa wakoloni wa kiafrika ya leo ndio mnaitaa heroes?? Hivi miccm ina akili?
 
Definitely he has never been here, he doesn't really know what happened on the ground. His story based on what he got from social media and news, i call him a foreign MATAGA
Yale yale ya P.L.O lumumba anasoma magazeti ya Jamvi hanari na fahari😅😅
 
Alot of Pumba. Hadi wanaccm wenzako wanakushangaa. We Albert Msando mwisho wako ndio huo.
 
This is the Utopoliest article ever.

Kwanza unaandikaje utopolo mwingi kiasi hiki? Nimesoma aya chache tu naona hamna cha maana.

Mzambia aumizwe zaidi ya Mtanzania? Hizi ni propaganda za Mataga. Alieandika article hata jina hajajitaja nyambaf.
Wewe una akili za kipuuzi tu
 
Kama majizi ya Mali na maisha ya waafrika wenzao ndio yanaitwa Heroes of Africa ndio maana hili bara litaendelea kuwa utumwani milele
 
Ulivyo anza tu article ya kwanza nikajua ni propaganda kama kawaida yako. Let me advise you, Go to hell!
 
Kuhusu ishu ya Africa kupoteza shujaa nachoweza kusema rubbish propoganda.

Huyu ni imported Mataga
My question why wanatumia nguvu sana ku force aonekane kuwa ni shujaa wa africa? wkt haja contribute anything to AU.
hii nguvu kubwa inatumika kumtakatisha marehem wkt walioko nyumban tunaujua ukweli.

kuwa hayuko kama wanavyo potray hapa
 
Kama majizi ya Mali na maisha ya waafrika wenzao ndio yanaitwa Heroes of Africa ndio maana hili bara litaendelea kuwa utumwani milele
welcome to new africa. ambapo mkoloni mpya ni mtu mweusi.
 
My question why wanatumia nguvu sana ku force aonekane kuwa ni shujaa wa africa? wkt haja contribute anything to AU.
hii nguvu kubwa inatumika kumtakatisha marehem wkt walioko nyumban tunaujua ukweli.

kuwa hayuko kama wanavyo potray hapa
Licha ya nguvu nahisi hao makanjanja wa nje wanatathmini kwa kutumia aliyokuwa anayasema sana mdomoni ambayo mengi ni uongo..tuliokuwa hapa kwa ground tunaelewa hali halisi..He was the worst president we have ever had na hilo halina ubishi
 
Wauwaju wakubwa wakoloni wa kiafrika ya leo ndio mnaitaa heroes?? Hivi miccm ina akili?
mleta uzi ni mpuuzi kweli kweli..
yaan kuna mijitu ina bore kweli, sio kwasababu kaandika nisichokipenda, bali hali yake ya kulazimisha kusafisha vitu visivyo safishika.
ikiwa hao aliwataja ni icons wa Africa, basi Africa ni center ya jehanam.

sera ya Jf"we dare to talk openly" inabidi ibadilishwe ama ifanyiwe mageuzi kidogo.. mijitu inaandika upupu kupitia sera hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…