Bin Faza
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 502
- 191
Waungwana
Ukitizama kiundani zaidi utakuta sasa Bara la Afrika limengukia katika ukoloni mpya na wa aina yake.
Ukoloni wa Kichina.
Mchina ameingia barani Afrika kwa nguvu sana, kuanzia southern parts za afrika hadi kwa north na western, na sasa ndio ameiza kuingia eastern.
Mchina ana mahitajio makubwa ya mali ghafi na chakula, kulisha watu wapatao bilioni mbili si kazi nyepesi sana, na kuendesha viwana vinavyohudumiakia dunia nzima pia sio mashara
Wengi ya waafrika wananufaika kwa kuwepo kwa wachina, ajira zinapatika na bidhaa za bei nafuu sanaaaaa, lakini uchumi wa nchi yoyote iliyovamiwa na wachina hatimae unakuwa katika mikono ya kichina.
mfano tumeanza kuona wachina wanamiminika sana tz siku hivi, husuan huko tanganyika, na wanakaribishwa vyema sana na raisi wao mpya kaipa tz kipa umbele kiasi ambacho ziara zake za mwanzo baada ya kupewa uraisi iliwemo tz.
kwa bahati mzuri au mbaya tz ni kama kuku aliyelalia yai la dhahabu akisubiri litotowe, lakini dalili zinaonesha kwamba yai hilo sasa itakwenda kutotolea huko china.