Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 671
- 348
uganda wanaonyesha afcon yooote wenye zuku tunakula vitu laiiiiiiiniFOX SPORTS hawaonyeshi AFCON bhana acha kudanganya watu, labda UBC wanaweza kuwa live na kama kuna mtu aliongeza chanel ya ziada ya RTVGE kupitia azam tv yenyewe itakuwa live kwa game zote.
Hata azamtv na wao wanayo hiyo UBC, dakika ya 10, burkina faso 0-0 gabonuganda wanaonyesha afcon yooote wenye zuku tunakula vitu laiiiiiiini
Saa 22:00Burkinafaso na gabon mechi inachezwa saa ngapi wadau?
Kuna marefa kutoka Tanzania waliopata nafasi?...Taifa Stars walicheza jana nadhani@Muhomakilo jr
Azam hovyo sana sana tena sana
Acha wewe siku hizi dstv bei rahisi tu sh 99,000 kisembuzi,sh 17,000 kwa mwezi channel zaidi ya 65 Epl nakula,world cup afcon uefa nakula supersport select 1 & 2
lile goli limefutika????Dk ya 35 bfa 0-0 gab
Kwa sh 17000 usiwalushe watu eti unangalia vyote wanaonesha mechi moja tu.nimelala mechi yapili hawaoneshi
Mmmh! mkuu Mc Tilly Chizenga nilikuwa nimevurugwa sana ile jana baada ya timu ninayoipenda ya wananchi kutoa sare pale taifa dhidi ya wanajeshi wa ruvu shooting. Ila ndo hivo hadi dakika ya 19 Gabon ilikuwa mbele kwa goli la Pierre Aubameyang huyu mchezaji wa Borussia Dotmund-Germanlile goli limefutika????
Nashukuru hatukwenda huko maana wachezaji wetu nidhamu ndogo wangeenda kula magengeni warudi na ebola