Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

The world is not fair for sure mke na shamba boy, ambao wananufaika na ujira wa huyu bwana,. Masikini na alikuwa anaenda India kwa matibabu
 
Ile kuchelewa kuoa na mke kijana tayari kuliweka conflict ya interest na sio majangiri??
 
Kamanda Saba's amesema mtunza bustani Wa nyumba yake amekiri kumua marehemu kwa tamaa ya ujira Wa tshs 5m. Ambazo baadhi ya hiyo fedha amekutwa nazo. Alimulia ndani akamburuza hadi kwenye buti ya gari Na kumuweka. Baadaye akatumia taulo Na suruali yake ya jeans kufuta damu ili kuficha ushahidi. Source ITV SAA 2.
 

Yangu ipi BVR
 

Hilo nalo neno!
 
Duh hii hatari aiseeee. Polisi bado wanakimbizana na intelijensia yao juu ya Chadema. Itakua jamaa alipinga jambo! Mungu atawahukumu
Misukule ya siasa utajua tu kila.kitu ni siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…