Afisa Usafirishaji

Kwani unawapa kula wewe?
Ulitaka wote tuwe bankers?
Eti kuwapa matumaini😳 Wewe unaona siyo kazi nzuri hiyo?
Watoto na mke wanakula,hawaji kuomba kwenu,eti kuwapa matumaini..eeh
Kilamtu aridhike na alichojaaliwa,tusidharauliane🚮
Mkuu mbona povu sana. Pole kwa usumbufu wowote uliojitokeza
 
Daah,nilijiandaa kweli 🤨
Hongera kwa majibu ya busara...nafuta comment 🙏🙏
Ulijiandaa kufanyaje, au hakuna anaejiandaa. Haya Sema ulijiandaa kufanyeje, ili ukutane na walio tayari
 
Bodaboda hawastahili kuitwa ofisa kabisa. Aliyewapa hadhi hiyo alikosea. Watu wa vijiweni watapewaje hadhi hiyo? Maofisa usafirishaji ni wale wa NIT, maofisa wengine ni TRA, BANK, EWURA, LATRA, TANROAD, TARURA, TAWA, TAWIRI, TANAPA, POLISI, JWTZ, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO, ELIMU, AFYA, KILIMO, BIASHARA, OFISA ustawi wa jamii, maofisa habari na mawasiliano na wengine kwenye ofisi za umma. Sio wahuni wa vijiweni kuitwa maofisa, huko ni kupotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…