kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,137
- 3,077
Sasa mkikamata wawekezaji Itakuwa mnajenga uchumi wa viwanda au itakuwa mnjenga uchumi wa kimasikini, kweli kuishi afrika kunaitaji moyo sana
Wakiwekeza halafu hata secretary akatoka kwao tena akaishi bila kibari huo utakuwa ni ujinga tukiuvumiliaSasa mkikamata wawekezaji Itakuwa mnajenga uchumi wa viwanda au itakuwa mnjenga uchumi wa kimasikini, kweli kuishi afrika kunaitaji moyo sana
Hii sawa na kisa cha Wema kukamatwa akamtaja Masogange badala ya kujitetea.
Lakini mimi naona serikali ijenge mazingira tu kwa kuwapatia muda wale ambao hawajakidhi matakwa ya sheria ya uhamiaji wakamilishe utaratibu kuliko kuwatia watu jambajamba. Mtaturushia ndege wetu wawekezaji wa viwanda.
Mkuu wa nchi SHIKAMOO! Naomba toa miezi mitatu kwa kila raia ajiadjust kulingana na unachoita "DIRECTION" unayoitaka. Muda huu utumike kukamilisha vibali, taratibu, usajili, leseni, ada, kodi n.k. Hii kamata kamata itaua watu!
wewe ni mtanzania adui kwa nchi yako. kwani umeambiwa manji yuko juu ya sheria? uhamiaji hawafanyi kazi kutokana na matakwa yako bali wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kulingana na taarifa walizonazo. sasa mkuu, tunaomba taarifa kuhusu hayo makampuni uliyotaja ili yafanyiwe kazi,Habarini wanajamvi,
Siku ya jana tarehe 14 February, 2017 tulimsikia Afisa Uhamiaji Mkuu wa Mkoa wa DSM, Ndg. John Msumule akimtaka Manji afike katika ofisi za uhamiaji kwa makosa makuu mawili, mosi kuruhusu raia wa kigeni kufanya kazi katika kampuni za Manji pasipo kuwa na vibali vya kuishi na vya kufanya hapa nchini na pili kuhojiwa juu ya uraia wa wafanyakazi wake wanaofanya kazi katika kampuni za QUALITY GROUP OF COMPANIES.
Ni jambo jema kwa kazi uliyoianza, lakini je kwa nini iwe ni Yusuph Manji na kam[uni zake za Quality Group of Companies???????
Sisi wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tunaamini kwamba hata katika makampuni mengine ya watanzania wazalendo pia wapo wanaofanya kazi pasipo kuwa na vibali vya kuishi au hata vya kufanya kazi, na mimi nataka sheria iwe msumeno kwa pande zote mbili, hata katika makampuni ya BAKHERESA GROUP OF COMPANIES bila kuasahau na timu yake ya AZAM, MOHAMMED ENTERPRISES, AFRICAN MEDIA GROUP, SAHARA MEDIA GROUP, IPP LTD, COCACOLA, VIWANDA VYOTE VYA MASINGASINGA NA MABOHORA HAPA MKOA WA DSM PIA WAPO WANAOISHI NA KUFANYA KAZI PASIPO KUWA NA UTARATIBU, WACHINA PALE KARIAKOO, KAMPUNI ZAUKANDARASI ZILIZOPATA TENDER HAPA NCHINI ZOTE ZA MKOA WA DSM WANAFANYA KAZI ZAO PASIPO KUWA NA VIBALI VYA KUISHI WALA VYA KUFANYA KAZI....KWAHIYO USHAURI WANGU KWAKO, ILI USIMUONEE MTU HUYU ZOEZI HILI LIWE ENDELEVU KWA KWENDA PIA KUMKAMATA NA KUMUWEKA MAHABUSU BAKHERESA, MOHAMMED DEWJI, REGINALD MENGI, WACHINA WA PALE KARIAKOO NA KAMPUNI ZAO ZA UKANDARASI, etc
Nawasilisha...!
wewe ni mtanzania adui kwa nchi yako. kwani umeambiwa manji yuko juu ya sheria? uhamiaji hawafanyi kazi kutokana na matakwa yako bali wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kulingana na taarifa walizonazo. sasa mkuu, tunaomba taarifa kuhusu hayo makampuni uliyotaja ili yafanyiwe kazi,
Tanzania ina mambo ya ajabu kweli hivi mtu mpaka anaingia nchini hafiki ofisi za uhamiaji? Na kama anafika je wao kama uhamiaji waliwapa vibari vya aina gani hao wanao wambia wanafanya kazi kinyume na taratibu za nchi?
Habarini wanajamvi,
Siku ya jana tarehe 14 February, 2017 tulimsikia Afisa Uhamiaji Mkuu wa Mkoa wa DSM, Ndg. John Msumule akimtaka Manji afike katika ofisi za uhamiaji kwa makosa makuu mawili, mosi kuruhusu raia wa kigeni kufanya kazi katika kampuni za Manji pasipo kuwa na vibali vya kuishi na vya kufanya hapa nchini na pili kuhojiwa juu ya uraia wa wafanyakazi wake wanaofanya kazi katika kampuni za QUALITY GROUP OF COMPANIES.
Ni jambo jema kwa kazi uliyoianza, lakini je kwa nini iwe ni Yusuph Manji na kam[uni zake za Quality Group of Companies???????
Sisi wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tunaamini kwamba hata katika makampuni mengine ya watanzania wazalendo pia wapo wanaofanya kazi pasipo kuwa na vibali vya kuishi au hata vya kufanya kazi, na mimi nataka sheria iwe msumeno kwa pande zote mbili, hata katika makampuni ya BAKHERESA GROUP OF COMPANIES bila kuasahau na timu yake ya AZAM, MOHAMMED ENTERPRISES, AFRICAN MEDIA GROUP, SAHARA MEDIA GROUP, IPP LTD, COCACOLA, VIWANDA VYOTE VYA MASINGASINGA NA MABOHORA HAPA MKOA WA DSM PIA WAPO WANAOISHI NA KUFANYA KAZI PASIPO KUWA NA UTARATIBU, WACHINA PALE KARIAKOO, KAMPUNI ZAUKANDARASI ZILIZOPATA TENDER HAPA NCHINI ZOTE ZA MKOA WA DSM WANAFANYA KAZI ZAO PASIPO KUWA NA VIBALI VYA KUISHI WALA VYA KUFANYA KAZI....KWAHIYO USHAURI WANGU KWAKO, ILI USIMUONEE MTU HUYU ZOEZI HILI LIWE ENDELEVU KWA KWENDA PIA KUMKAMATA NA KUMUWEKA MAHABUSU BAKHERESA, MOHAMMED DEWJI, REGINALD MENGI, WACHINA WA PALE KARIAKOO NA KAMPUNI ZAO ZA UKANDARASI, etc
Nawasilisha...!
Solution ni kuwapa mda wakamilishe taratibu za kulipa vibali ambapo tutapata mapato kama wafanyavo nchi zilizo endelea ukomozi si kitu kizuri ktk maisha yanazunguka.
Kama wewe unaamini na unafahamu pasipo shaka kwamba yapo makampuni mengine yana watu ambao ni wahamiaji haramu na wanafanya kazi bila vibali halali vya nchi hii, ni jukumu lako kama Raia kulijulisha jeshi la polisi, Idara ya Uhamiaji, au taasisi yeyote ya Serikali. Lakini ni UPOFU wa akili kuleta malalamiki yako JF tena baada ya Manji kutuhumiwa kwa kosa la kuajiri wageni wasiokuwa na vibali halali. Tafadhali acha tabia za kijinga kama Tundu Lisu, mimi naamini wewe kadri ulivyojieleza japo umekosea kosea,uko vizuri siyo kama Tundu Lisu ambaye kazi yake nikuropoka tu na kuchochea watu. Hata hivyo Watanzania hawako tayari kuchochewa chochewa. Atabaki kwenda magereza peke yake wala hakuna hatakayeingia barabarani kwa ujinga wa Tundu Lisu. Kama unabishi subili kama utaona watu wanaandamana kwa sababu ya Lisu.Habarini wanajamvi,
Siku ya jana tarehe 14 February, 2017 tulimsikia Afisa Uhamiaji Mkuu wa Mkoa wa DSM, Ndg. John Msumule akimtaka Manji afike katika ofisi za uhamiaji kwa makosa makuu mawili, mosi kuruhusu raia wa kigeni kufanya kazi katika kampuni za Manji pasipo kuwa na vibali vya kuishi na vya kufanya hapa nchini na pili kuhojiwa juu ya uraia wa wafanyakazi wake wanaofanya kazi katika kampuni za QUALITY GROUP OF COMPANIES.
Ni jambo jema kwa kazi uliyoianza, lakini je kwa nini iwe ni Yusuph Manji na kam[uni zake za Quality Group of Companies???????
Sisi wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tunaamini kwamba hata katika makampuni mengine ya watanzania wazalendo pia wapo wanaofanya kazi pasipo kuwa na vibali vya kuishi au hata vya kufanya kazi, na mimi nataka sheria iwe msumeno kwa pande zote mbili, hata katika makampuni ya BAKHERESA GROUP OF COMPANIES bila kuasahau na timu yake ya AZAM, MOHAMMED ENTERPRISES, AFRICAN MEDIA GROUP, SAHARA MEDIA GROUP, IPP LTD, COCACOLA, VIWANDA VYOTE VYA MASINGASINGA NA MABOHORA HAPA MKOA WA DSM PIA WAPO WANAOISHI NA KUFANYA KAZI PASIPO KUWA NA UTARATIBU, WACHINA PALE KARIAKOO, KAMPUNI ZAUKANDARASI ZILIZOPATA TENDER HAPA NCHINI ZOTE ZA MKOA WA DSM WANAFANYA KAZI ZAO PASIPO KUWA NA VIBALI VYA KUISHI WALA VYA KUFANYA KAZI....KWAHIYO USHAURI WANGU KWAKO, ILI USIMUONEE MTU HUYU ZOEZI HILI LIWE ENDELEVU KWA KWENDA PIA KUMKAMATA NA KUMUWEKA MAHABUSU BAKHERESA, MOHAMMED DEWJI, REGINALD MENGI, WACHINA WA PALE KARIAKOO NA KAMPUNI ZAO ZA UKANDARASI, etc
Nawasilisha...!
Kama wewe unaamini na unafahamu pasipo shaka kwamba yapo makampuni mengine yana watu ambao ni wahamiaji haramu na wanafanya kazi bila vibali halali vya nchi hii, ni jukumu lako kama Raia kulijulisha jeshi la polisi, Idara ya Uhamiaji, au taasisi yeyote ya Serikali. Lakini ni UPOFU wa akili kuleta malalamiki yako JF tena baada ya Manji kutuhumiwa kwa kosa la kuajiri wageni wasiokuwa na vibali halali. Tafadhali acha tabia za kijinga kama Tundu Lisu, mimi naamini wewe kadri ulivyojieleza japo umekosea kosea,uko vizuri siyo kama Tundu Lisu ambaye kazi yake nikuropoka tu na kuchochea watu. Hata hivyo Watanzania hawako tayari kuchochewa chochewa. Atabaki kwenda magereza peke yake wala hakuna hatakayeingia barabarani kwa ujinga wa Tundu Lisu. Kama unabishi subili kama utaona watu wanaandamana kwa sababu ya Lisu.
Kwa Afisa Uhamiaji Mkoa wa DAR.Kama wewe unaamini na unafahamu pasipo shaka kwamba yapo makampuni mengine yana watu ambao ni wahamiaji haramu na wanafanya kazi bila vibali halali vya nchi hii, ni jukumu lako kama Raia kulijulisha jeshi la polisi, Idara ya Uhamiaji, au taasisi yeyote ya Serikali. Lakini ni UPOFU wa akili kuleta malalamiki yako JF tena baada ya Manji kutuhumiwa kwa kosa la kuajiri wageni wasiokuwa na vibali halali. Tafadhali acha tabia za kijinga kama Tundu Lisu, mimi naamini wewe kadri ulivyojieleza japo umekosea kosea,uko vizuri siyo kama Tundu Lisu ambaye kazi yake nikuropoka tu na kuchochea watu. Hata hivyo Watanzania hawako tayari kuchochewa chochewa. Atabaki kwenda magereza peke yake wala hakuna hatakayeingia barabarani kwa ujinga wa Tundu Lisu. Kama unabishi subili kama utaona watu wanaandamana kwa sababu ya Lisu.