nyie ndiyo mnaojipendekeza,umewahi kupiga simu landline crdb ikapokelewa?na kam kutoa namba ya simu ni favour kwanini anawapigia wateja?hiki kitu kipo cha msingi uongozi wa crdb wafuatlie na waangalie kama ni majungu wampandishe cheo,tatizo la watanzania ni kuhalalisha uzembe na kiburi cha kazi kuwa sahihi hasa mnapokuwa na tabia sawa
Wewe akili zako ni fupi kama funza. Hamuwezi kutuwekea vituhuma vya kipuuzi visivyoingia akilini hapa halafu mtegemee tuwaunge mkono. Mtu akifata utaratibu wa kazi yake mnamuona eti anawasumbua. Kama ungekuwa na sababu za msingi ungefikisha malalamiko kwa bosi wake. Acheni majungu kwenye kazi za watu.
we umejuaje ni tuhuma ya uongo ba haiingii akilini kwako tu siyo kwa wote ni taratibu gani za kazi anazifuata?umewahi kuchukua mkopo crdb nakambako?acha ushabiki wa kimama,malalamiko siyo lazima yafike kwa boss wake tu ndiyo maana kuna njia nyingi kama jamiiforum,ingekuwa hivyo nmb,vodacom wasingeweka thread zao hapa kutafuta maoni,kwakuwa wewe ni mmoja wao itakuuma sana,taratibu za kazi ziko wazi na kuwa na kazi siyo ufanye unavyotaka mbuzi we!
Je mnapoomba mikopo mnawasilisha nyaraka zote zinazotakiwa?????
we umejuaje ni tuhuma ya uongo ba haiingii akilini kwako tu siyo kwa wote ni taratibu gani za kazi anazifuata?umewahi kuchukua mkopo crdb nakambako?acha ushabiki wa kimama,malalamiko siyo lazima yafike kwa boss wake tu ndiyo maana kuna njia nyingi kama jamiiforum,ingekuwa hivyo nmb,vodacom wasingeweka thread zao hapa kutafuta maoni,kwakuwa wewe ni mmoja wao itakuuma sana,taratibu za kazi ziko wazi na kuwa na kazi siyo ufanye unavyotaka mbuzi we!
Mimi naomba wale wenye moyo wa kukemea tuje hapa tuseme kweli kama hii tabia haipo crdb bank na siyo makambako tu,na kwanini matawi ya bank moja yatoe kiasi cha mikopo tofautitofauti kwa watu wenye mshahara sawa?kama namuonea huyu dada Mungu anaona na bila kujikomboa na hawa watu hatutafika popote,sioni sababu ya mtumishi ambaye anauhakika wa kulipa kucheleweshwa na mfanyabiashara mwenye uhakika mdogo kuwahishwa,10% na urahisi wa kufutiwa mikopo kwa wafanyabiashara!wachache watanielewa!
.Mpigie utjulishe kasemaje.kakubali au kakaknusha?ngoja nimpigie nimwambie kwann anakunyima mkopo
.Mpigie utjulishe kasemaje.kakubali au kakaknusha?
swala siyo yeye kuidhinisha mkopo kuwa muelewa siyo kurupuka,kwani hawezi kukalia fomu za watu kwa makusudi zisifike kwa wakati kwa wahusika?na ndicho anachofanya usitete uovu mtu anapotoa kero zake inamaana kashuhudia.