cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
mpumbavu sana huyo dada au alitaka RUSHWA, yani anakua anaringa kama customer care.....PUNANA YAKE..,
Afisa mikopo kwa jina Mwajuma wa CRDB Makambako anakera na amekuwa akizungusha wafanyakazi wanaoomba mikopo hapo tawini kwa kuwaambia leta hiki au kile na ukikamilisha anatoa namba ya simu 0719 843 933 kisha hapokei unapompigia ili kujua status ya mkopo wako.
Kwa kweli amekuwa kikwazo katika hili tunaomba uongozi wa CRDB Makambako ummulike na ikiwezekana aondolewe. Inakuwaje Mfanyabiashara anampa mkopo ndani ya saa 24 lakini mtumishi wa serikali anakaa wiki na bila taarifa yoyote. Na unakuta mwingine katoka nje ya Makambako na yuko guest na mtu anaomba mkopo ili kutatua matatizo yake hivyo ni vizuri kuupata muda muafaka na mapema siyo kuzungushwa kiivyo.
Nawasilisha.
chuki binafsi, si ndo wewe nilisikia baada ya kumpigia muongee habari za mkopo unaanza kumtongoza,halafu utapigaje sim saa tano usiku?
chuki binafsi, si ndo wewe nilisikia baada ya kumpigia muongee habari za mkopo unaanza kumtongoza,halafu utapigaje sim saa tano usiku?
Acha chuki binafsi. Huwezi safiri toka nje ya wilaya na kufikia guest eti unasuburi mkopo. Kawaida unajaza form zako unaacha unaondoka hadi taratibu zitakapokuwa tayari unaitwa, bila hata ya kutoa rushwa. Unauhakika gani kama hao ''wafanyabiashara wakubwa'' wameanza taratibu za mkopo ndani ya siku moja? MAJUNGU...!!!. Tatizo letu sisi wabongo tukiwa na shida tunataka kulazimisha mikopo itoke ndani ya siku moja, ndio tatizo linapoanzia hapo. Hata kama mimi sipokei simu yakoToka hapo guest haraka sana, rudi kazini kafanye kazi, taratibu zikikamilika utaitwa
Taarifa ulizoweka hazitoshelezi kuonyesha makosa yake. Kuomba nyaraka ni sehemu ya utaratibu na inaonyesha anafuata utaratibu wa kutoa mkopo. Pia ujue nyaraka anazotakiwa kutoa mfanyabiashara kama security ni tofauti unazotoa wewe mfanyakazi. Usimpake mtu matope kwasababu zako binafsi. Kutokupokea simu sio justification ya yeye kuwa na mapungufu ya kiutendaji. Kwanza amekufanyia favour kukupa namba yake ya mkononi (kama hajanunuliwa na CRDB kwa ajili ya kazi), kiutaratibu ulipaswa kupiga simu ya ofisi, landline kwa masuala ya ofisi.
Hivi kwa akili yako finyu unafikiri huo mkopo ni yeye anaetoa? ye anakusanya taarifa zako tu na kuziwakilisha kwa mkuu wa idara na meneja wa tawi, hana uwezo wa kuidhinisha mkopo
chuki binafsi, si ndo wewe nilisikia baada ya kumpigia muongee habari za mkopo unaanza kumtongoza,halafu utapigaje sim saa tano usiku?