BwanaX Senior Member Joined Mar 5, 2015 Posts 123 Reaction score 46 Aug 31, 2015 #1 JF, Anahitajika haraka Afisa Mauzo/Masoko wa nje (External Sales & Marketing Officer) wakike. Majukumu: Kutafuta wateja wapya Kuandaa ripoti za Mauzo kila mwisho wa Wiki. Kusaidia Kazi za Cashier. Vigezo: Awe na Diploma au Certificate ya Mauzo/Masoko Awe amesha fanya kazi za Mauzo/Masoko si chini ya Mwaka mmoja. Awe na Ujuzi Mzuri wa Kutumia Computer na Intaneti. Awe na umri usiozidi Miaka 27 Awe na Kingereza Kizuri cha kuandika na kuongea Wasiliana Nasi; 0658 535 800 (Piga Simu,,Usibeep)
JF, Anahitajika haraka Afisa Mauzo/Masoko wa nje (External Sales & Marketing Officer) wakike. Majukumu: Kutafuta wateja wapya Kuandaa ripoti za Mauzo kila mwisho wa Wiki. Kusaidia Kazi za Cashier. Vigezo: Awe na Diploma au Certificate ya Mauzo/Masoko Awe amesha fanya kazi za Mauzo/Masoko si chini ya Mwaka mmoja. Awe na Ujuzi Mzuri wa Kutumia Computer na Intaneti. Awe na umri usiozidi Miaka 27 Awe na Kingereza Kizuri cha kuandika na kuongea Wasiliana Nasi; 0658 535 800 (Piga Simu,,Usibeep)
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,562 Aug 31, 2015 #2 unaweza kutuambia ni kwanini unataka wakike?
M MN Productions Member Joined Aug 22, 2015 Posts 68 Reaction score 17 Aug 31, 2015 #3 ...ili awe mke wa pili.
E Emanuel audax Member Joined Feb 11, 2011 Posts 46 Reaction score 2 Sep 3, 2015 #4 no gender menstreaming ther violent why only girl $