Afisa mauzo/masoko

Afisa mauzo/masoko

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
JF,

Anahitajika haraka Afisa Mauzo/Masoko wa nje (External Sales & Marketing Officer) wakike.

Majukumu:
  • Kutafuta wateja wapya
  • Kuandaa ripoti za Mauzo kila mwisho wa Wiki.
  • Kusaidia Kazi za Cashier.

Vigezo:
  • Awe na Diploma au Certificate ya Mauzo/Masoko
  • Awe amesha fanya kazi za Mauzo/Masoko si chini ya Mwaka mmoja.
  • Awe na Ujuzi Mzuri wa Kutumia Computer na Intaneti.
  • Awe na umri usiozidi Miaka 27
  • Awe na Kingereza Kizuri cha kuandika na kuongea



Wasiliana Nasi; 0658 535 800 (Piga Simu,,Usibeep)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom