October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Wakikukamata watakubanika.Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi Nye kwa raha. Mwasahau kazi na utu. Na bado
Kazi uliyotumwa umeimaliza, siyo?kwa raha
Hapo kwenye bold unamaanisha toto tundu Mjusi Sharobalompaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi
Jikoni labda anapika chai Kisha analeta humuHuyu jamaa Post zake ni za Kutake serious nahsi yupo Jikoni
Nimebaki mdomo wazi 🫨🫨🫨Jikoni labda anapika chai Kisha analeta humu
We nawe hebu ongea kama mwanaume bwana.Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi Nye kwa raha. Mwasahau kazi na utu. Na bado
Sisi wazenji tunaongeaga kwa mdebwedo.We nawe hebu ongea kama mwanaume bwana.
Hahahaaaa, haya!!Sisi wazenji tunaongeaga kwa mdebwedo.
Kaa kwa kutulia. Usitupangie.
Nifunze Kiswahili Kwanza .. eti ulojo!Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi Nye kwa raha. Mwasahau kazi na utu. Na bado