Serikali yangu ya Tanzania, tuoneeni huruma japo mechi hii ya leo ya Tanzania na Kenya mtuonyeshe wananchi wenu kupitia TBC 1,
Hii ni TV ya taifa, timu inacheza kuwakilisha taifa, kila mwananchi mpenda michezo anahamu ya kuiona timu yake inavyopambana kupeperusha bendera ya nchi. Na ukizingatia ni miaka 39 kama nchi hatujashiriki hayo mashindano.