Duh wazee wa kupinga pinga mpo. Kuitwa na kujumuika na kiongozi mkubwa wa nchi ni moja ya motisha, kuna mda inabidi tulaumu na kuna mda inabidi tushauri, kwa hapo ilitakuwa kushauri nini kifanyike sio kulaumu.Mkuu serikali inaenda kwa matukio yani hawa vijana waiitiwa wali kwa M/ Rais badala kuitiwa wataalamu wa soko wakubwa duniani kuwapa motivation ya mpira,wewe unamwambia kijana akipata nafasi ya kucheza timu kubwa asisuke nywelee mara sijui nn seriously! yan kama vile tayari kashapata hiyo team.kiukweli tukiacha siasa kwenye mpira tutakuwa mbali sanaa nchi inawatu zaidi ya mil55 lakini hapo Congo kila siku mabomu wanatuzidi mpira,yani viongozi wachache wanatufanya kichwa cha mwendawazimu.
Amen, dua zetu zitawezesha kuwa na siha njemaNimeona captain wao kaumia mazoezini,atamiss mechi zote za mchuano
Pigo kubwa hili ila nina imani madogo wataendelea kukaza,kila la kheri sojaz
Mbona aliyeanza kulaumu ni wewe peke yako!Tunapanda porojo, tunavuna porojo
Fuatilia post za awali utaelewaMbona aliyeanza kulaumu ni wewe peke yako!
Super shpot select 1&2Wakuu channel gani wanaonesha haya mashindano?
Zbc 2 na UTV kwa wale kwenye kingamuzi cha azam mtakuwa mnanielewa vizuri hapaWakuu channel gani wanaonesha haya mashindano?
Mechi saa 11 na nusu EATMechi saa ngapi, niwacheki hao madogo?
Acha uboya wewe kama huna chakuongea nyamazaWanagongwa tu hawa mnawapaiiiiiiisha
Nenda kaangalizie barSisi wa star times ndio imekula kwetu au?