M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 260 Feb 5, 2013 #1 Naomba mnijuze wadau, nilivyokua najua AFCON ilikua inachezwa kila baada ya miaka miwili kwa mfano 2000,2002,2004,2006,2008,2010,2012,n.k . Sasa wadau ikoje hii AFCON imechezwa 2013 na sio 2014, kwa anaefahamu wadau?
Naomba mnijuze wadau, nilivyokua najua AFCON ilikua inachezwa kila baada ya miaka miwili kwa mfano 2000,2002,2004,2006,2008,2010,2012,n.k . Sasa wadau ikoje hii AFCON imechezwa 2013 na sio 2014, kwa anaefahamu wadau?
S Santo JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 497 Reaction score 95 Feb 5, 2013 #2 Ili timu ziwe na muda zaidi kujinoa for world cup 2014, si unaona in past hata nusu fainali timu za africa hazifiki?
Ili timu ziwe na muda zaidi kujinoa for world cup 2014, si unaona in past hata nusu fainali timu za africa hazifiki?
M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 260 Feb 7, 2013 Thread starter #3 Santo said: Ili timu ziwe na muda zaidi kujinoa for world cup 2014, si unaona in past hata nusu fainali timu za africa hazifiki? Click to expand... Thanks mkuu
Santo said: Ili timu ziwe na muda zaidi kujinoa for world cup 2014, si unaona in past hata nusu fainali timu za africa hazifiki? Click to expand... Thanks mkuu