Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,444
- 10,606
Acha uongo,hiyo Ni Arusha Football Club.Ni dakika ya 51:03' hadi sasa, na matokeo ni 0 - 0.
Naona Yanga wanajitahidi ku-perform hapa, wamewazidi kiasi AFC (moja ya timu kubwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki). Yanga wameonyesha ku-improve kwenye mechi hii, tofauti na ile waliyocheza dhidi ya Polisi waliyolala 2 - 0.
Pamoja na hayo, hii mechi haivutii kabisa na baada ya dakika chache naona ni heri nikacheze draft barazani kuliko kuona huu upuuzi unaoendelea hapa.
Nimegundua kwamba, ukitoka kuangalia mechi ya Simba ndani ya saa 24 au siku 3, hutakiwi uangalie mechi yoyote ya Yanga, maana lazima utakereka tu.
Acha uongo,hiyo Ni Arusha Football Club.
Heee, hawa KwasuKwasu wanacheza na timu ya nje ya nchi au ndani?Acha uongo,hiyo Ni Arusha Football Club.
Ni sawa na kunywa balimi alafu ukachanganye na mataputapu..Ni dakika ya 51:03' hadi sasa, na matokeo ni 0 - 0.
Naona Yanga wanajitahidi ku-perform hapa, wamewazidi kiasi AFC (moja ya timu kubwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki). Yanga wameonyesha ku-improve kwenye mechi hii, tofauti na ile waliyocheza dhidi ya Polisi waliyolala 2 - 0.
Pamoja na hayo, hii mechi haivutii kabisa na baada ya dakika chache naona ni heri nikacheze draft barazani kuliko kuona huu upuuzi unaoendelea hapa.
Nimegundua kwamba, ukitoka kuangalia mechi ya Simba ndani ya saa 24 au siku 3, hutakiwi uangalie mechi yoyote ya Yanga, maana lazima utakereka tu.
Janga. 😂😂😂👊ni yanga au janga???
Ile ilikuwa morogoro stars "wazee wa kuchomoa betri" R.I.PHii ndiyo Yanga ya wananchi! Kwa upangaji huu wa timu, hata ikatokea tukafungwa nitakubali matokeo. Siyo ile Yanga ya akina Ali Ali iliyocheza na Polisi.
Kweli kbsa NDIO MANA ZAHERA INAONESHA HAKUBALIANI NA MANAGEMENTTimu ilimaliza ya 11 ligi ya Kenya sawa na Mbeya city.hii si mechi ya kujipima.
Wachezaji wa Yanga wanarukaruka tu hapa, wamekoswakoswa hapa mpira umegonga mwamba,.
Yangwa level yake waimba kwaya au bodaboda...