SPANISH CP JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 465 Reaction score 230 May 30, 2014 #1 Ni ktk Wilaya ya Morgogoro vijijini kijana mmoja amefariki dunia baada ya kuingiwa na samaki mdomoni baada ya kumvua. IMANI ya ushirikini inahusishwa na tukio hilo.
Ni ktk Wilaya ya Morgogoro vijijini kijana mmoja amefariki dunia baada ya kuingiwa na samaki mdomoni baada ya kumvua. IMANI ya ushirikini inahusishwa na tukio hilo.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,446 Reaction score 29,853 May 30, 2014 #2 Kichwa cha habari kitapunguza wachangiaji wa thread hii......
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,673 Reaction score 11,342 May 30, 2014 #3 tedo said: Kichwa cha habari kitapunguza wachangiaji wa thread hii...... Click to expand... Si kila habari watu wachangie zingine unapata taarifa na kusepa
tedo said: Kichwa cha habari kitapunguza wachangiaji wa thread hii...... Click to expand... Si kila habari watu wachangie zingine unapata taarifa na kusepa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,677 Reaction score 870,411 May 30, 2014 #4 thats why mimi na Bujibuji tunatamani mno kujifunza uchawi na kujua siri kuu ya hii kitu! sitanii natamani kujifunza uchawi
thats why mimi na Bujibuji tunatamani mno kujifunza uchawi na kujua siri kuu ya hii kitu! sitanii natamani kujifunza uchawi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,677 Reaction score 870,411 May 30, 2014 #5 Jodoki Kalimilo said: Si kila habari watu wachangie zingine unapata taarifa na kusepa Click to expand... well said Jodoki
Jodoki Kalimilo said: Si kila habari watu wachangie zingine unapata taarifa na kusepa Click to expand... well said Jodoki
U UNLOCK JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 268 Reaction score 37 May 30, 2014 #6 Inanikumbusha ile ya mara yule mtoto wa kike aliyeingiwa na samaki sehemu za siri. cjui iliishia wapi!
Inanikumbusha ile ya mara yule mtoto wa kike aliyeingiwa na samaki sehemu za siri. cjui iliishia wapi!
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,673 Reaction score 11,342 May 30, 2014 #7 UNLOCK said: Inanikumbusha ile ya mara yule mtoto wa kike aliyeingiwa na samaki sehemu za siri. cjui iliishia wapi! Click to expand... Wilaya ya Bunda
UNLOCK said: Inanikumbusha ile ya mara yule mtoto wa kike aliyeingiwa na samaki sehemu za siri. cjui iliishia wapi! Click to expand... Wilaya ya Bunda
M Muwazi JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 355 Reaction score 81 May 30, 2014 #8 Mambo ya ushirikina hayoooooo
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,446 Reaction score 29,853 May 30, 2014 #9 mshana jr said: thats why mimi na Bujibuji tunatamani mno kujifunza uchawi na kujua siri kuu ya hii kitu! sitanii natamani kujifunza uchawi Click to expand... Sasa mkuu siungemuona huyu bwana LIKUD.....Yeye nafikiri alishamaliza kozi ya uchawi.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: thats why mimi na Bujibuji tunatamani mno kujifunza uchawi na kujua siri kuu ya hii kitu! sitanii natamani kujifunza uchawi Click to expand... Sasa mkuu siungemuona huyu bwana LIKUD.....Yeye nafikiri alishamaliza kozi ya uchawi..
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,154 Reaction score 15,445 May 30, 2014 #10 Daah inasikitisha sana,R.I.P mvuvi...
J joseph lasway Member Joined Mar 7, 2014 Posts 31 Reaction score 3 May 30, 2014 #11 mshana jr said: well said Jodoki Click to expand... Aaaah bro