safiii mkuu lakini ukumbuke mliyo wafanyia wana Arusha, kama uyo Babu angekubwa na Mauwaji Re Afande ungepata kikombe? fikiria kabla ujatenda. iyo ni kwa Ma afande wote
safiii mkuu lakini ukumbuke mliyo wafanyia wana Arusha, kama uyo Babu angekubwa na Mauwaji Re Afande ungepata kikombe? fikiria kabla ujatenda. iyo ni kwa Ma afande wote
Hii thead ya toka jana kun wa2 wamei2mia.But thanx Mr.Mi nilivyoon title nikawa najua anayezungumziw hat ni yule Afande ambaye ni King of Bongo fleva.Heh!Kumbe ni visa vise
Awa jamaaniliwapenda sana walipofika wakamsalimia babu na kumwambia babu akuna atakaekusumbua sie waziri wala yoyote sie ndie tunakulinda mpaka mwmisho wa maisha yetu tunaomba kikombe cha uzima kwanza babu...oohhh babu akagawa majiyabaraka baada ya hapo vijana wanachapa kazi wengine walikuwa waviviu maofisini mwao wanachakalika mpaka wanashangaana babu noma oohh