Ooyooo kawaunamaka hawa waarabu wanashangaza sana sijui labda hayo mapesa ya mafuta na ndio yanayo watia uchizi au undondocha maana kila siku na kukicha ni ku uwana tu wao kwa wao na sijui na hizo roho wanazichimbua kama mafuta au ni vipi na tena waarabu wote kwa pamoja wana adui wao mkubwa tena sana na wa karine lakini wanavo muwogopa kama moto wa kifuu na hata kumtekinya hawasubutu ni mwisiraeli ni kiboko ya waarabu