Swali lako umeli ' frame ' vibaya sana Mkuu. Ulipashwa Kwanza utuambie huyo Mdogo wako Yeye kama Yeye anapenda kusomea nini kisha tungekuwa katika nafasi nzuri tu ya Kukushauri. Anyways kama anapenda kuwa Mwalimu au maeneo yote yanayohusiana na hiyo tasnia basi kwa UDSM ni mahala sahihi kabisa Kwake ila kama anapenda kuwa Mwanahabari au Mwanamawasiliano basi wala asipoteze muda upesi aende zake SAUT Mwanza atapikwa na kupikika vyema tu. Kila la kheri ila siku zingine jifunze jinsi ya ku ' frame ' swali Kisomi tafadhali.