Hi
Team
Please this is my first project on website designing,I need to see it using other people's eyes.
You are welcome for advice,comments and suggestions.Thank you in advance.Here it is.
Mkuu, ni project ya kwanza kweli?, kama ndiyo basi umetisha. Ongeza some links kwenye footer, na je na wewe upo Mafinga?.
Ok.Nashukuru kwaushauri hawa jamaa hawakuwa na acoount hata ya facebook na twitter mimi ndiyo nimecreate for them so you tube na google + once account zikiwepo zitakuwa linked.Imekaa ki 1990s sana, hayo mambo ya flashing text na scrolling text na hiyo counter siku hizi ni marufuku kabisa.
Icon za youtube/fb etc haziko sized sawa, pia link haziendi youtube wala G+, bora utoe kama hawatumii. "Website designed by Aqua" imekaa kushoto zaidi. Nikiclick buttons za juu inakuwa inaonyesha missing image.
sio mbaya ila kwa mimi rangi sijazipenda they look old
Karibuni tena mtoe mawazo yenu nimerekebisha baadhi ya vitu kama mlivyoshauri.Click here
Kuna improvements zimefanyika. Kwa upande wa rangi sawa maana hiyo ndivyo wilaya ya mufindi ilivyo i.e kijani. Je inaonekana kwenye mobile devices kiurahisi?
Hi
Team
Please this is my first project on website designing,I coded from scratch.I need to see it using other people's eyes.
You are welcome for advice,comments and suggestions.Thank you in advance.Here it is.
Nimefanya kazi muda mwingi kwenye networking,niliamua kuanza kufanya programming na nikaona nianze na mambo ya website.Photoshop sina ufahamu nayo,nitajitahidi nipate kwanza hiyo software na nijifunze nikimaster naamini product zitakuwa nzuri kwa sasa naomba nikiri kwenye mambo ya website ndiyo naanza na unajua kwenye website mara nyingi html ni kama mama.Nitafanyia kazi hilo wazo lako kwa sasa mambo ya picha natumia GIMP na yenyewe si mtaalam sana ila najifunza ili niwe safi.Pia niko najifunza Macromedia na kwa mbali nimeanza php.Joomla imetengenezwa kwa php,naamini nikiwa na ufahamu wa php,nikijifunza Joomla nitakuwa safi kwani nitakuwa naweza kumodify baadhi ya vitu.Kwa hiyo kaka ndiyo naanza hivyo,nitajitahidi si unajua tena mambo ya technmology kila siku kuna kitu kimpya,mara CSS3,html5. Nashukuru kwa ushaurisijui kwa nini umechagua kufanya html, ila ungeweza kutumia photoshop kutengeneza template mzuri yenye muonekano wa kisasa na ukaitumia kwa worspress au joomla, unless iyo kazi ni ya kujitolea
Nimefanya kazi muda mwingi kwenye networking,niliamua kuanza kufanya programming na nikaona nianze na mambo ya website.Photoshop sina ufahamu nayo,nitajitahidi nipate kwanza hiyo software na nijifunze nikimaster naamini product zitakuwa nzuri kwa sasa naomba nikiri kwenye mambo ya website ndiyo naanza na unajua kwenye website mara nyingi html ni kama mama.Nitafanyia kazi hilo wazo lako kwa sasa mambo ya picha natumia GIMP na yenyewe si mtaalam sana ila najifunza ili niwe safi.Pia niko najifunza Macromedia na kwa mbali nimeanza php.Joomla imetengenezwa kwa php,naamini nikiwa na ufahamu wa php,nikijifunza Joomla nitakuwa safi kwani nitakuwa naweza kumodify baadhi ya vitu.Kwa hiyo kaka ndiyo naanza hivyo,nitajitahidi si unajua tena mambo ya technmology kila siku kuna kitu kimpya,mara CSS3,html5. Nashukuru kwa ushauri
Ok.Marquee naiondoa haina shida kwani inachizungumzia kipo kwenye banner,Macromedia hapa sijaitumia ila niko najifunza,je Macromedia flash 8 imepitwa na muda au kwani nimeiona unaweza itumia kutengeneza animation,mtu anatembea,gari inamove ,text animation hata vikatuni ila wanasema kama unapenda kuwa juu kwenye mambo ya SEO itakuangusha.Naomba nijuzwe kama Macromedia flash 8 ni obsolete ili nisipoteze muda.Thank younakupa 4 kati ya 10
ambacho sijakipenda kabisa ni hiyo marquee text inayopitapita hapo
kingine ni rangi sio nzuri
kwa ushauri wangu ungeondoa mawazo yako kwenye macromedia sidhani kama itakufikisha mbali inabidi uwe updated siku zote