Adventure kwenye mahusiano....

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,485
Kila siku utasikia wanawake hawapendani blah blah blah....kama wanaume mnapendana sana mbona kwenye "THREESOME" huwa haongezwi mwanaume???


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Just joking guys....juuuuuuuuust joking😁😁

On to some serious matters though....nilikuwa naangilia series flani hivi, kuna couple with an open relationship ambao waliamua kukaa kabisa na mpenzi wao wa nyongeza nyumbani like a big, happy family.

I'm not one to judge, I mean mwisho wa siku kila mtu abebe msalaba wake ila it most certainly made me wonder. Ina maana binadam tumefikia kiwango cha mwisho kabisa cha kuboreka linapokuja swala la mahusiano kiasi kwamba tunajitoa ufahamu for the sake of adventure and keeping the fire alive???

I personally know a couple that has had a THREESOME katika harakati za kuokoa ndoa yao. The guy was cheating, wakati wanajaribu kuweka mambo sawa the wife asked the husband why this and why that, mwisho wa siku mume akamuuliza mwenzie if she would be willing to try out a THREESOME for him kwasababu ni moja ya vitu anavyoenjoy. And she agreed!! Not sure how she felt about it afterwards but again.....😏😏😏😏

Swali langu kwenu ni hivi.....how far would you go just make your relationship work??? Are you willing to invite another GUY?? a WOMAN??? into it just to spice things up or to satisfy your partner???

Uko tayari kujitoa ufahamu ili kumtuliza mwenzi wako au aendelee tu kuchepuka kimya kimya???
 
Kwan mtungo ni nn ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lizzy
Inviting someone? What the lleh!

Kuhisi unanicheat tu ni vita ya tatu ya Dunia... I would'nt even allow my mind to think about it.

Zaidi ya yote ni kinyume na Dini yangu.
 
Haya mambo mnaiga haya yatawafikisha pabaya...Mara three some,Mara rainbow...na Sasa mnaangalia tamthilia za kifilipino ambamo mashoga wanacheza

If it's adventure...don't we have our own ways to go it???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lizzy
Inviting someone? What the lleh!

Kuhisi unanicheat tu ni vita ya tatu ya Dunia... I would'nt even allow my mind to think about it.

Zaidi ya yote ni kinyume na Dini yangu.
Daby mie mwenyewe nashindwa kuelewa wanahifadhi wapi wivu wao kwakweli.

Siku hizi watu wanajibunia mambo ili mrradi siku ziende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…