Nilipita kuonana na Finance Manager kwa kazi za kiofisi....nilikuta akiwa busy na kuniambia nisubiri kidogo aweke mambo sawa kwani kuna interview baada ya muda mfupi....ilikuwa jumamosi!
Sasa sijajua kama ndio hii mnayozungumzia au lah.....!
thanks for the answer. hata mimi nliomba bt hawajanipigia simu mpaka leo na nlikua nataman sana ningepata nafasi advans kiukweli. May be its not my luck.
thanks for the answer. hata mimi nliomba bt hawajanipigia simu mpaka leo na nlikua nataman sana ningepata nafasi advans kiukweli. May be its not my luck.
cz nmetokea kuibenda sn advans bank,pia hawakua na masharti mengi sn na qualifications zao zote walizokua wanahitaji nlikua nazo. Nlijiwekea % kubwa kupata bat imekua opposite dats why nmesema may be its not my lucky.