K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 15, 2013 #1 Heshima kwenu wakubwa! Nasikia advans bank wameita watu kwa interview. Mwenye updates plz anifahamishe,natanguliza shukrani.
Heshima kwenu wakubwa! Nasikia advans bank wameita watu kwa interview. Mwenye updates plz anifahamishe,natanguliza shukrani.
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Feb 15, 2013 #2 Post gani?
K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 15, 2013 Thread starter #3 Mkuu walitangaza nafasi mbalimbali walitaka cv pekee so cjajua hata, ila nasikia kunawalioitwa prakatatumba said: Post gani? Click to expand...
Mkuu walitangaza nafasi mbalimbali walitaka cv pekee so cjajua hata, ila nasikia kunawalioitwa prakatatumba said: Post gani? Click to expand...
N Neysholi Member Joined Jan 24, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Feb 15, 2013 #4 anayejua kuhusu hili atufahamishe basi kama kweli wameshaita au wameanza kuita
N Neysholi Member Joined Jan 24, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Feb 16, 2013 #5 ila ungeuliza vizuri hapo uliposikia wakuthibitishie
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,945 Reaction score 102,705 Feb 16, 2013 #6 Waulize hao walioitwa au tembelea tawi lao pale Sayansi mataa
M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 224 Feb 16, 2013 #7 Wahuni tu hao advans achana nao.
M monka Member Joined Jan 28, 2013 Posts 40 Reaction score 1 Feb 16, 2013 #8 hakuna uhun wowote! hata mi nimepigiwa simu jana, usail writen tar 16-02, venue:kariakoo branch, saa 4 asbh
hakuna uhun wowote! hata mi nimepigiwa simu jana, usail writen tar 16-02, venue:kariakoo branch, saa 4 asbh
K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 16, 2013 Thread starter #9 Thank u mkuu,nlikua namfatilia dogo wangu aliomba ila ye amefanyia manzese monka said: hakuna uhun wowote! hata mi nimepigiwa simu jana, usail writen tar 16-02, venue:kariakoo branch, saa 4 asbh Click to expand...
Thank u mkuu,nlikua namfatilia dogo wangu aliomba ila ye amefanyia manzese monka said: hakuna uhun wowote! hata mi nimepigiwa simu jana, usail writen tar 16-02, venue:kariakoo branch, saa 4 asbh Click to expand...
N Neysholi Member Joined Jan 24, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Feb 16, 2013 #10 Ni kwa post zote wameita au ni post gani hiyo walioitwa
H hawaa New Member Joined Jul 10, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 16, 2013 #11 nafasi zote walizotangaza interview leo
K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 19, 2013 Thread starter #12 Jamaa wameita oral interview.
R regy k New Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 22, 2013 #13 jamani kuna watu walioitwa kuanza kazi Advans Bank????
K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 22, 2013 Thread starter #14 Kama wapo humu ndani watufahamishe wajameni. regy k said: jamani kuna watu walioitwa kuanza kazi Advans Bank???? Click to expand...
Kama wapo humu ndani watufahamishe wajameni. regy k said: jamani kuna watu walioitwa kuanza kazi Advans Bank???? Click to expand...
E enny mchuz Member Joined Feb 23, 2013 Posts 33 Reaction score 1 Feb 23, 2013 #15 Kweli tufahamishane km wapo
M monka Member Joined Jan 28, 2013 Posts 40 Reaction score 1 Feb 23, 2013 #16 tulizen ball we kama hujapigiwa simu consider urself unseccesful. ukiona manyoya jua kaliwa!
N nzoya Member Joined Dec 8, 2012 Posts 87 Reaction score 11 Feb 23, 2013 #17 mie nilipiga hadi oral ila wamenichinjia baharini !!na kunabaadhi ya watu kweli wamepigiwa.
K Kolis Member Joined Dec 13, 2012 Posts 35 Reaction score 2 Feb 24, 2013 Thread starter #18 Asanteni kwa updates zenu,ila kama hujapata usikate tamaa Mungu atakusaidia utapata kwengine. Walopata nawatakia kila lakheri na wafanye kazi kwa bidii.
Asanteni kwa updates zenu,ila kama hujapata usikate tamaa Mungu atakusaidia utapata kwengine. Walopata nawatakia kila lakheri na wafanye kazi kwa bidii.
maege JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 309 Reaction score 73 Feb 25, 2013 #19 Advans mhhhhh haka kabenk kwenye ajira kako ver biased!! Mwaka jana kuna ushenzi walinifanyia sina hamu nao. Ila endeleen kumuomba Mungu!
Advans mhhhhh haka kabenk kwenye ajira kako ver biased!! Mwaka jana kuna ushenzi walinifanyia sina hamu nao. Ila endeleen kumuomba Mungu!
K kajembe JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 1,012 Reaction score 447 Feb 26, 2013 #20 Mdogo wangu kapata na kaanza kazi jumatatu week hii