Uzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana
Hao uliowatag
rootadmin na
Thefreedom nawakubali sana hasa huyu jamaa anajiita
Thefreedom mshikaji peace saana hajisikiiii, sio mchoyo na hivi ndo tunatakiwa kuwa.
Pamoja we can chalii zangu. Tusaidiane bana ambao tunahitaji hata mwanga wa haya mambo