Je unauzoefu gani toka umemaliza chuo?
Kwanini usiombe internship mahali (bila malipo) ili upate ujuzi? Miaka miwili mingi bila ujuzi wa kazi...
wewe ndugu acha kutoa majibu mabaya kama huwezi kuchangia kaa kimya! wewe unafikiri jamaaa anapenda kukaa bila ajira au chuo alichosoma ndio kinamfanya akose ajira? siku nyingine jirekebishe!Tatizo mnapenda vitu vyenye majina makubwa kama USIMAMIZI WA FEDHA mtasimamia fedha za nani? Wakati baba zenu hawana mapesa.Haya sasa naliComputer sciance lako unamiaka 3 bila ajira
msamehe bure ndugu yangu! usijali mkuu muda sahii ukifika utapata tu kazi yako nzurikadudu kama huna ushauri au msaada sio lazima uandike,sijachagua kazi wala jina kama umesoma vizuri nilichoandika
tatizo kupata hizo kazi za kujitolea kaka
Wewe ndo una shda alafu eti mtu aku Pm? Kaka wengine syo member wa jf wanaweza kukusaidia ila kukupm hawawez kwa kuwa hawana account humu.Kwa urahisi ungeweka mawasiliano yako ya simu au email watu wakupe dili.Kuwa na mawazo mapana mkuu fikiria nje ya box
Kuwahi kujibu pasipo kusoma na kuelewa nao si ujanja.kwani haujaona e mail ya jamaa na namba yake ya simu.watu wenginne ni kupinga kila kitu.haifai.