Ndugu yangu napenda nipingane na wewe,lakini ni kwa hoja na sio kwa ngumi au matusi.
Kwanza adui wa mwanadamu SIO kifo (mauti),bali adui wa mwanadamu ni IBILISI/SHETANI.Ingawa wengi hawatokubali hoja hii na wengine wametamka hadharani kabisa kwamba shetani ndiye Mungu wao,lakini Mwenyezi Mungu ametutahadharisha juu ya huyu shetani kwamba ni ADUI YETU DHAHIRI.Na akasisitiza kwamba atakayemfanya shetani ni rafiki /Mungu/mlinzi wake badala ya Mwenyezi Mungu;hakika amepata khasara zilizokua wazi.
Pili,kifo kimeumbwa na Mwenyezi Mungu.Yeye ndiye ANAYEFISHA na KUHUISHA.Na anasema kwamba kila nafsi ITAONJA UMAUTI.Na Mwenyezi Mungu kwa msisitizo kabisa anatuambia kwamba haifi nafsi yoyote ila KWA IDHINI YAKE.Yeye pekee ndiye mwenye kumiliki uhai wa kila kiumbe mbinguni na ardhini.
Tatu,kifo ni HATIMA YA LAZIMA kwa kila kiumbe.Mwanadamu hakuumbwa kuishi milele hapa duniani.Anaishi hapa kwa kipindi maalum kilichowekwa na Muumba.Muda wako wa kuwepo hapa duniani ukikamilika,kifo kinakuondoa hapa kwenda kizuizini.Sasa wale waliodai na wanaodai hakuna Mungu wakifa warudishie uhai kama jeuri wanayo maana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye MMILIKI wa uhai wa viumbe vyote akiwemo na huyo shetani.
Unaona maandiko yenu yanavyojipinga?Umeongea vyema.. Imeandikwa ukimfuata yeye hatokutupa nje kamwe na hata ukifa Utaishi... Na kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.... Wanadamu hatujui tulitakiwa tupendane sana ili tumshinde adui yetu shetani.. Lakini sisi wenyewe tunaangamizana kwa kutumika na shetani..
Unaona maandiko yenu yanavyojipinga?
Hapa unasema "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele". Unapingana tayari na andiko la kila nafsi itaonja umauti.
Unajua maana ya kufa?Ukitafsiri maandiko: "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele" ina maana hata ukifa utaendelea kuishi milele katika roho hutoenda jehanam
Ila andiko limesema hata kufa kabisa hata milele, wewe unatuambia ukifa utaendelea kuishi. Tukufate wewe au andiko?Ukitafsiri maandiko: "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele" ina maana hata ukifa utaendelea kuishi milele katika roho hutoenda jehanam
Ila andiko limesema hata kufa kabisa hata milele, wewe unatuambia ukifa utaendelea kuishi. Tukufate wewe au andiko?
Wewe ndo uliyetafsiri mi nimenukuu tuUnatafsiri maandiko kiakili na sio kiroho katika ulimwengu wa roho hutokufa kabisa na fahamu kabisa Mungu ni Roho na maisha yetu ya kimungu yapo kiroho ndo maana ukifa baada ya mwili kubaki duniani unakuwa roho kwahiyo utaishi milele ukimfuata yeye.
Kifo ni adhabu ilotolewa baada y uasi wa Adam na Eva. Haikjwa mpango wa Mungu kifo kiwepo. Soma mwanzoNdugu yangu napenda nipingane na wewe,lakini ni kwa hoja na sio kwa ngumi au matusi.
Kwanza adui wa mwanadamu SIO kifo (mauti),bali adui wa mwanadamu ni IBILISI/SHETANI.Ingawa wengi hawatokubali hoja hii na wengine wametamka hadharani kabisa kwamba shetani ndiye Mungu wao,lakini Mwenyezi Mungu ametutahadharisha juu ya huyu shetani kwamba ni ADUI YETU DHAHIRI.Na akasisitiza kwamba atakayemfanya shetani ni rafiki /Mungu/mlinzi wake badala ya Mwenyezi Mungu;hakika amepata khasara zilizokua wazi.
Pili,kifo kimeumbwa na Mwenyezi Mungu.Yeye ndiye ANAYEFISHA na KUHUISHA.Na anasema kwamba kila nafsi ITAONJA UMAUTI.Na Mwenyezi Mungu kwa msisitizo kabisa anatuambia kwamba haifi nafsi yoyote ila KWA IDHINI YAKE.Yeye pekee ndiye mwenye kumiliki uhai wa kila kiumbe mbinguni na ardhini.
Tatu,kifo ni HATIMA YA LAZIMA kwa kila kiumbe.Mwanadamu hakuumbwa kuishi milele hapa duniani.Anaishi hapa kwa kipindi maalum kilichowekwa na Muumba.Muda wako wa kuwepo hapa duniani ukikamilika,kifo kinakuondoa hapa kwenda kizuizini.Sasa wale waliodai na wanaodai hakuna Mungu wakifa warudishie uhai kama jeuri wanayo maana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye MMILIKI wa uhai wa viumbe vyote akiwemo na huyo shetani.
Unajua maana ya kufa?
OK, kama ni maswala ya jehanam na peponi bado unaonekana kuimba ngonjera tu, maana hata yule aliyeko jehanam bado atakuwa yupo hai katika roho na ndio maana anaungua.
Leta zingine
Sasa utaadhibiwa vipi na moto wa milele ilihali ni mfu? Kwahiyo huko kwenye moto kinaungua nini sasa kama ndio mtu amekufa milele?Nimekwambia yeye amwaminie hatakufa milele katika roho ina maana akifa katika mwili ataenda mbinguni... Ni kweli hata yule asiye mwamini kufa kwake ni kwenda kwenye ziwa la moto.... Yaani atakuwa amekufa milele... Tafsiri maandiko usisome kama kitabu cha kawaida.. Ndio maana Yesu aliwafundisha Wayahudi kwa mithali ndo mana wengi hawakumwelewa
Sasa utaadhibiwa vipi na moto wa milele ilihali ni mfu? Kwahiyo huko kwenye moto kinaungua nini sasa kama ndio mtu amekufa milele?
Kujitoa ufahamu ni kubaya sana. Mtu amekufa milele alafu anaadhibiwa milele 😀
Alafu mtu hafi kabisa lakini anakufa mwili anaenda kuishi katika roho milele.
HUO NI UPUNGUANI WA MUNGU
Unaelewa nilichokuuliza kweli wewe muumini?Mt. 10 wakaja wanafunzi wake wakamwambia kwanini husema nao kwa mifano? Anajibu ninyi mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni bali wao hawajui... Kwamaana kila aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile alichokuwa nacho hatanyang'anywa.. Kwa maana wakitazama hawaoni... Hata wakisikia hawaelewi... Angalia usije kua mmoja wao
Kwaya tu hizi ngoja mkuu @Bennie 369 akutengenezee beatsMt. 10 wakaja wanafunzi wake wakamwambia kwanini husema nao kwa mifano? Anajibu ninyi mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni bali wao hawajui... Kwamaana kila aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile alichokuwa nacho hatanyang'anywa.. Kwa maana wakitazama hawaoni... Hata wakisikia hawaelewi... Angalia usije kua mmoja wao
Unaelewa nilichokuuliza kweli wewe muumini?
God created universe for Reason not Religion
Kumbe @chaupimbi. Aisee kumbe napoteza mudaAreta,Mtu mwenyewe anayeitwa Chaupimbi
sasa Pimbi tangu lini Akaelewa?
Watu kama hawa,Mwachie mtu wa kuitwa @Jimena na mwenzake Bennie
Areta,Mtu mwenyewe anayeitwa Chaupimbi
sasa Pimbi tangu lini Akaelewa?
Watu kama hawa,Mwachie mtu wa kuitwa @Jimena na mwenzake Bennie
Nimewapuuza Tu. Mnabisha kwa Shallow Learning... Na kwa makusudi kabisa mnapotosha hata kile mlichokielewa. Mnalazimisha kutokuelewa.Napenda sana mchango wako hapa JF mkuu. Alafu jinsi hizi dini zinavyolewesha atakataa
"Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko chochote /Yeyote" Kama ni mkubwa kuliko chochote/Yeyote, mbona haonekani ilihali mnasema yupo kila mahali?Nimewapuuza Tu. Mnabisha kwa Shallow Learning... Na kwa makusudi kabisa mnapotosha hata kile mlichokielewa. Mnalazimisha kutokuelewa.
Nawakumbusha tena, Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko chochote /Yeyote, na mwenye uwezo wa kila kitu.
Oneni ukuu wake, fungueni macho na akili. MTAELEWA.