Adobe reader kwenye Simu Yangu inagoma kufunguka. Msaada please!

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Nina simu aina ya Nokia E65, mwanzoni ilikuwa inafunguka kama kawaida lakini sa hvi inagoma.. Nimejaribu kudownload nyingine, installation inakataa na kuandika "Unable to Install component built in" nimejaribu pia ku-unstall iliyokuwepo pia hakuna options za kuiremove.. Sa sijui kunatatizo gani. Please mwenye ujuzi anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…