kama hujui jinsi ya kudownload na kuinstall, then unaitakia ya nini? ninachojua ikifikia wakati unahitaji photoshop lazima uwe na kautundu fulani kwenye hii fani, sasa inatisha kuona hata kuinstall hujui. a) Namna mbili ya kupata moja nunua, ya piili download kutoka www.torrentz.eu kwenye box search for Adobe photoshop. unatakiwa kuwa na client ya kuishusha miye natumia vuze inapatikana www.vuze.com. Namna ya kuinstall run setup.exe halafu fuata maelekezo on screen.